Vako by Femi One
Vako by Femi One

Vako

Femi One * Track #10 On Greatness

Vako Lyrics

(Ricco Beats Mr 808)
Vako ni moto na usiwai force
Vako ni genje ni zile za kiboss
Vako ni moto na si ni full course
Vako ni genje ni zile za kiboss
Cheza kama uko happy tonight
Ringa kama uko happy today
Cheza kama uko happy tonight
Mmmh! Ringa kama uko happy today
Naingia kwenye baesa warazi wanashtuka
Mabazu na watoto wanagutuka
Maregular wa local wanafufuka
Tunawaka ka moto ya gascooker

Mama pima nina doh hapa anapima
Kabla kabla tunakula choma na sima
Zainabu na dera na makucha za henna
Nimewasili na jeshi wamepause ndani ya Bima
Sipost mabunda kwa Insta siringi
Nywele ni ya beca farifari mashilingi
50 plus 50 ndio hesabu ya ligi
Vako ni moto na usiwai force
Vako ni genje ni zile za kiboss
Vako ni moto na si ni full course
Vako ni genje ni zile za kiboss
Cheza kama uko happy tonight
Ringa kama uko happy today
Cheza kama uko happy tonight
Mmmh! Ringa kama uko happy today
So far solatido
Voodoo naisongeza more than before
Usijali the bill andika for Wanjiku
We itisha nitalipa na iko kwa mpigo
Chaser ongeza, meza ongeza
Tequila na ndimu na kachumvi ndo nameza
Yeah nafeel sexy tonight
Natafuta makmende anadhani ataweza
Higher than the most, higher than thou
Meza iko na Hennessy na Remy kibao
Watiaji wasishikwe wawache washike zao
Na wakileta vurugu si watakula mafoul
Vako ni moto na usiwai force
Vako ni genje ni zile za kiboss
Vako ni moto na si ni full course
Vako ni genje ni zile za kiboss
Cheza kama uko happy tonight
Ringa kama uko happy today
Cheza kama uko happy tonight
Mmmh! Ringa kama uko happy today
Mmmh moto, mmmh genje
Mmmh moto, mmmh genje
Cheza kama uko
Cheza kama uko
Vako ni moto na usiwai force
Vako ni genje ni zile za kiboss
Vako ni moto na si ni full course
Vako ni genje ni zile za kiboss
Cheza kama uko happy tonight
Ringa kama uko happy today
Cheza kama uko happy tonight
Mmmh! Ringa kama uko happy today
Vako ni moto na usiwai force
Vako ni genje ni zile za kiboss
Vako ni moto na si ni full course
Vako ni genje ni zile za kiboss
Cheza kama uko happy tonight
Ringa kama uko happy today
Cheza kama uko happy tonight
Mmmh! Ringa kama uko happy today

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com