100 Bob by Femi One
100 Bob by Femi One

100 Bob

Femi One * Track #8 On Greatness

100 Bob Lyrics

(Ricco Beats Mr 808)
Okay fine, I have a 100 bob in my pocket
A 100 bob in my pocket
A 100 bob in my pocket
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Basi twende tukawake huko Nairobi West
Ama pande gani ndio pombe ni best
Nyake ni best na machali wabest
Na madem wanapendaga kuzungusha waist

Cheza na E-Sir ama Manu Dibango
Bado nazitoka na ngoma za kitambo
Ata ki latino tuna baila bailando
Natupa mikono juu naweka shida kando
Kama bado waist iko kunjaga mifupa
Kama bill hulipi usikunywage na pupa
Chezanga na rubber ka hamfungangi maduka
Na usiulize ni ngapi si huhesabu machupa
Okay fine, I have a 100 bob in my pocket
Ndio manake, ndio manake
Ndio manakе, basi twende tukawake
Ndio manakе, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Life ni kutafuta sio kutafutana
Lakini leo itabidi tumetafutana
Pamba safi dancefloor ni chafu sana
Si pale kwa vinywaji ndio tunakutana
Tunachoma liver dry fry
Vile tuko high utadhani ni si-fi
Kushukisha mizuka ya masela haifai
Kushikisha mavela na mafella, why lie
Huku Nairobi tunapendaga kuhanya na kuparty
Mchele ni ya mafala wanakuwanga wangati
Usiulize ni ngapi we niambie mko wangapi
Uko single tunamingle na maodi na mababi wee
Okay fine, I have a 100 bob in my pocket
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
My crew hubabanga
Cheki vile life tunakulanga
Mziki ni dawa mi ni mganga-nga
So relax be free freelanga
My crew hubabanga
Cheki vile life tunakulanga
Mziki ni dawa mi ni mganga-nga
So relax be free freelanga
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake
Ndio manake, ndio manake
Ndio manake, basi twende tukawake

100 Bob Q&A

Who produced 100 Bob's ?

100 Bob was produced by Rico Beats.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com