(Ricco Beats Mr 808)
Paparazzi anapiga picha
Tunaichoma na captions IG
Pamba ni clean tunazingatia hygiene
Makali ya pepe soup ukipiga na dry Gin
Ndio definition ya Wanjiku uki search queen
Pigeni durag na mangepa nikidunga crown
Manager hashiki simu ka haujalipa full amount
Clown anasepa anajua I don't fool around
Kufika place niko kwa hii race si utakula round
Kula foul nilinyanganya refa firimbi
Hii ndio long term benefit ya uji wa wimbi
Manzi makmende na wisdom ka ya bingi
Ndio usimame ka mi ni lazima uchimbe misingi
Vile na-go deep ndio vile na go hard
Hii ndio Budalangi season kwa mwaka ndio mi naflood
Kuzidi mi nazidi na ujanja bila speedi
Mi napinzana na ganji sio mabwana na mabibi
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Yoh, fasta fasta ni Femi na master
Siku hizi naskia mpaka supaghetti ni pasta
Pasta blasta hatuhemi disaster
Dredi bado nikinyoa wataniita morasta yeah
Luku ni ya kibuda nani
Leta dharau unarushiwa kibunda nani
Ambia chef acheze sembe na usuga nani
Na kasupu ndio ziraruke kuruka nani
Catalogue inasimama na the empirе state
Entire state wanastand na thе great
Ni Oksy na Femi kwenye tune ya Ricco
Bang dem itabidi wametoka kijiko
Kombi safi ka tequilla ukiongezaga ice
Mistari huwanga richy nimechanganya ma spice
Tamu sana with the vibes ni lazima watanyc
Zina pum zimepangwa design yoga nice
Set vile iko organised
Mafioso ukisize tuna lawyer kwenye kesi
Bro ulizia your guys, wachana na Harmonize
Mi huwaga nina jeshi
Check chek sikiza nikiangusha ubeti
Geti tamu kushinda ata soda kreti
Ah sikiza verse hatuchezi
Chobo na makanzu wanapigwa ki Messi
Champion mi I walk like Buju Banton
Big up ungem na crew ya Santon
Githurai kina Googz fili banton
Nikipanda -- magwanda nina clarks on
Love mkono moja utadhania ni Jackson
Mic ngechu nawaletea action
Picha so fire emoji kwenye caption
Points nikishoot tatu tatu kama Pakson
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up
Big up, big up big up