Oya Bern man
Kwanza nipe snare na treble na baze
Leo steam zinashika ka veve ya base
Been lit kama mix ya vela na gate
Nilishapanda ile nganya wanangoja kwa stage
Nimetoka Mwiki imeenda very far
Na mahali imefika inachuna vile inafaa
Kaende kaende gear 5
Hakuna kitu inaweza fanya Shiko wareverse
Miaka saba si mob so mi siwezi kustop
Since day one vichwa kazi kubob
Na bado napunch kujo zinadrop
Bidii yangu inafaa kupewa rondo wafloss
Ama page kwa Forbes Top 30 under 30
Niko na seat kwa table sitaki hizo mabakshish
Bad bitch nyi mmekam jana ma papi
So sifai kutoa mshipi mtachapwa na patipati ka watoto
It was all a dream I remember
Flow HBR mistari zinginе mwenda
Sai niko zoom nabonga na mabazenga
Na maleakеrs ni wale wale walionilenga
So ukicheki naringa saa zingine inabidi
You saw where I came from so you woun't believe it
Day one na Rabit, Day one na Denno
On the road to riches na tumechachisha freno
So you think am done uko rong mi ni Femi
So sick stay far don't come near me
Monster mi nikishika nachinja ua
Na nimejipin ukileta zogo nakufyatua
Niko greatful for greatness
Thick skin na chunde bado ni stainless
Yeah ni salamu tu za rap, so sitasema mengi
Na kwa hayo machache si the album is ready