Wanguvu by Khaligraph Jones (Ft. Ali Kiba)
Wanguvu by Khaligraph Jones (Ft. Ali Kiba)

Wanguvu

Khaligraph Jones & Ali Kiba * Track #9 On Invisible Currency

Wanguvu Lyrics

[Chorus: KaligraphJones]
Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii)
Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free)
Maboy wang'are kaa huja tripa huingii
Vee kuko shwari imebidi wameti
Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu)

[Verse 1: Kaligraph Jones]
Mi ndo huletanga vurugu (Vurugu)
Na vile nawaroga chama ni juju
S'jai kua mnyonge mimi ni sugu
Na case hujaijua Omolo na Kiba uwanga mandugu (Jones)
Niko na pesa na show mi nalipwa mita na nusu
Compen pressure bado unajua wanalipwa marupu
Mashawry wameweza watoto bha kenya wote ni wasupu
Bado tuko bongo na lazima mi nitapita na mtu

[Chorus: Kaligraph Jones]
Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii)
Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free)
Maboy wang'are kaa huja tripa huingii
Vee kuko shwari imebidi wameti
Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu)

[Verse 2: Ali Kiba]
Chap chap, money chap chap now
You carе me more, you make it clap clap clap
Na umеnivalia, guch ya gistrii
Girl I'm not yours to that you kill me (Ayy)
Now sasa tupa (Tupa)
Kiuno tupa (Tupa)
Show them you can tupa (Tupa)
Kiuno tupa (Tupa)
Girl unanibamba sana
Oh my girl unanibamba sana

[Chorus: Kaligraph Jones]
Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii)
Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free)
Maboy wang'are kaa huja tripa huingii
Vee kuko shwari imebidi wameti
Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu)

[Verse 3: Kaligraph Jones]
Ah, mi ni msee wa nguvu, msee wa power
Ndo kuwe dis ai piga tei na dawa? (Ati tei na dawa?)
Yay, dawa na tei
Makarao kwa milango battle wana say
Wanataka kujua kama natumianga madrei
Lead kila siku ni ka nimepandanga bei
Nipate zaba juu ya shisha mitishamba napraise
Na kila siku ni mazishi mi hulala kwa grave
Nilikuwa na Kiba tuko pande za Dodoma tunanice kwa sherehe tunamalizia Dar-Es-Salaam
Mali safi ka ni safi hakuna haja ya intro
Najitokeza nikisema, "habari madam"
Anataka kujua ka nimejipin mi nasema, "yes bwana"
Na si eti nimekali magan
Anajua kunifanya ile kitu
Na kila mi hutaka kwenda yufanya kalia koo

[Chorus: KaligraphJones]
Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii)
Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free)
Maboy wang'are kaa huja tripa huingii
Vee kuko shwari imebidi wameti
Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu)

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com