Bad Dreams by Khaligraph Jones
Bad Dreams by Khaligraph Jones

Bad Dreams

Khaligraph Jones * Track #14 On Invisible Currency

Bad Dreams Lyrics

Ni kitu sato niko mafikra nimebangaiza home
Nimesota rada chafu mood mbaya siko zone
Navutia Njoro niskie ka anaweza toa form
Niaje Njoro? Poa buda kuna mradi pitia chuom
Sijakuwa wera kitu miaka mbili na nusu
Vile tumbo inagrowl mpaka mwili nashuku
Izi streets ka hujitumi utaend up umetumiwa
Ka ukonayo na si hatuna then ni weh ndo unakujiwa
Napiga hoodie jinari safi na chini jordo
Bandana ya rasta colours watajuaje mi ni bobo
Njoro amelia kuna mboka na hatuezi toka chupri
Sijaai pendanga masanse coz they always wana shoot me
But leo mi nakafeeling tunaenda kukatinga
Usitaki kuingilia kati ya simba saa anawinda
Nashika senke na inaniseti kwa orosho
Chuma baridi pia nimeisunda ndani ya mbosho
Nakutana na Njoro finally ananigota
Anaconfirm "Omollo umejipin ukonaitoka"
Namsho joh niko ready sijaaichezanga na mboka
Mi ni G na si chocha na lazima nikuwe focused
Ni mapema bado hii shugli ni ya magizani
I think by now unaeza guess mi hufanya kazi gani
Not that am proud but hii Nairobi jo ni mawe
Ka sina pesa na weh ukonayo itabidi ugawe
Njoro anadai " nikona info ya bazu flani
Dongare ye husifiwa na watu mtaani
Ye huskuma V8 prado ya colour black
Ye ndo target inafaa tumteke mara that!
Ye hutumia hii njia usiku around 9
Ju carfew huanza 10 so hes always on time"
Perfect! Najigas mentally
We bout to make a jackpot of the century
Around kitu 8:40 mi na Njoro tunajipost
Ju mi ndo nikona moto so I was doing the most
"Omollo uko ready" namsho jo niko BA
Ready to get it poppin nikicheki hiyo V8
Adrenaline rush hii Kenya sini rough
Ka umejiamini na umesota na weh tena sim tough
Walinidharau av never been much
But with this plaque in our hands we can never be touched
And here we go now kuna gari inaaproach
Black prado ready to do what am supposed to
It's about to be a damn robbery buda
I got my skee mask on kama Dormani Munga
As the car came a little closer nikanotice
It wasn't one person in there their was like 4peeps
Njoro niaje tena I thought you said he would be solo
"Hii shugli lazima si tuifanye sai sio tomorrow"
Kwani ni kesho gun in the air ka nimebonda
Tokeni kwa gari staki kuona mtu akisonga
Soon as the car stop I ordered everybody out
That's when I knew this was a trap and things was about to go south
Njoro had fled the scene and I was left all alone
Prado kumbe ikiuwa ma CID all along
It was a set up na huyu boy alikuwa informer
I was blinded by desperation hii swara mi skuona
Before hii information iprocees kwa akili
Something hit me on my belly that gave me a tingling feeling
I turn my head and realized damn av been shot
3times and the pressure ikanifanya mi nidrop
Now am lying on my back and the pain is intense
Thoughts racing very fast am surrounded by these men
Holding pistols wote wananigeuza kichungi
Leo ndo ile siku mi nashikanishwa na vumbi
One of the CID guys kanisongea karibu
Singeeza kusmama hata ka ningejaribu
My vision was blurry "si nilikuwambia hautaenda mbali"
I tell him that am sorry so that he could spare my life
I promise that ad change and I'm a do everything right
"Apana tulikukanya ukasema haukomi
Omba mungu akulaze mahali pema peponi"
Ni sato ngware naamka roho inapiga heavy
Am all sweaty thoughts scattered sijiwezi
I can't describe the feeling that my heart feel
But I thank God the experience is not real
"It was just a bad dream oh God!
What the hell was that shiet!!!!

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com