Maombi ya Mama by Khaligraph Jones (Ft. Adasa)
Maombi ya Mama by Khaligraph Jones (Ft. Adasa)

Maombi ya Mama

Khaligraph Jones & Adasa * Track #7 On Invisible Currency

Maombi ya Mama Lyrics

[Intro]
Beat killer

[Chorus: Adasa]
Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (Ikabidi)
Mateso yalikuwa mengi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni
Asante asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)

[Verse 1: Kaligraph Jones]
Nimekuwa zablin nikijipanga ndo mi nisepe
Hakuna mahali imeandikwa ati lazima niteseke
Nakumbuka tukikosa tukipigwa mateke
Landi akituchuja keja tukivukisha tarehe
Ya kuganjisha rentiko, ju zing hakuwa na any kwa benkiko
Nakumbuka ile time alikuanga ati amekafunga
Kujipendekeza kwake, these are strange people
'Cause after I lose job ivo ndo walilost
Ju hakuna ganji na keja kubwa inaeza wahost
That's when I learned that when you broke
You don't matter the most
Ju ata marelatives manze wote walitughost
Shida ndo hufunza binadamu jinsi ya kujikaza
Kitu ilikuwa imebaki ni si kurudi mushadha
Its hella painfull mpaka leo nikiwaza
Ju sijui tungekuwa wapi bila maombi ya mother

[Chorus: Adasa]
Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (Ikabidi)
Mateso yalikuwa mengi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni
Asante asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)

[Verse 2: Kaligraph Jones]
Yeah, ayy
Wausema education is the key
But lets agree tunaeza agree ku disagree
A younger me thought ntapata kadegree
Then nikamada highschool kama nimescore ki D
But D+ inaeza kupeleka wapi?
Na form kiasi ikijipa uko lucky
But would you believe it if I told you that I was happy?
But si ati story ya chuo, mi nilikuwanga staki
'Cause I dropped out for three years before nijoin seco
Hakukuwa na doh ya fee, ama msee wa kuisettle
My decision to go back to school thereafter
Was a choice that I made ndo nifunge iyo chapter
And I know my parents tried their best
'Cause a generational curse, was laid to rest
Na yes, sikufika uni but nilisafisha rada
Na sijui ingekuwa vipi, bila maombi ya mother

[Chorus]
Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (Ikabidi)
Mateso yalikuwa mingi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni
Asante asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)

[Verse 3: Kaligraph Jones]
Yeah
Mtaa yenye tulikuwa ilikuwa ni giza hakuna light uko mwisho
Generational curses result tu ni kifo
Diabetes na blood pressure
Izi ugonjwa zitakumurder only ka unalack pesa
And this I'm saying ju ni kitu nimewitness
My dad was a victim and he passed from this sickness
All along we were trapped in this system
Hoping that siku moja vitu zitakuwa different
I'm telling you yall about vitu mi huwa sibongi
So that uanderstand reason me huvalue maombi
Kuna time unaeza kwama na vitu hazisongi
But keep strong real winners huwa hawakondi
I contemplated suicide nilichoka na maisha
Eventually I pulled through na nikashinda vita
Na hivyo ndivo nakuanga ibaada
Na hapa nimefika ni ju ya maombi ya mother
God Bless

[Chorus: Adasa]
Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (Ikabidi)
Mateso yalikuwa mingi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni
Asante asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)
Asante baba (Oh asante)

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com