UFUKWENI MWA BAHARi by SABAHA SALUM
UFUKWENI MWA BAHARi by SABAHA SALUM

UFUKWENI MWA BAHARi

SABAHA SALUM * Track #10 On Kwa raha zangu Taarab

Download "UFUKWENI MWA BAHARi"

UFUKWENI MWA BAHARi by SABAHA SALUM

Release Date
Thu May 13 2021
Performed by
SABAHA SALUM

UFUKWENI MWA BAHARi Lyrics

Siku uliyotokeza roho ukaichukua macho yanielekeza kwako wewe msifiwa
Siku uliyotokeza roho ukaichukua macho yanielekeza kwako wewe msifiwa
Na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua
Na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua
Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwaaah
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa
Mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa
Mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa
Nimeshatua mahali
Mapenzi nishaibua
Bora haisomi hali
Muhibu ukanielewa
Nimeshatua mahali
Mapenzi nishaibua
Bora haisomi hali
Muhibu ukanielewa
Minampenda kikweli watu woote wanajuaa
Minampenda kikweli watu woote wanajuaa
Twaendelea wawili soote tushapendezewa
Twaendelea wawili soote tushapendezewa
Twaendelea wawili soote tushapendezewa
Twaendelea wawili soote tushapendezewa
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana
Kwa vyovyote mi tayari
Tena wataumwa sana
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana
Kwa vyovyote mi tayari
Tena wataumwa sana
Nyoyo tumezifungua
Wenyewe twajizuzua
Wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua
Nyoyo tumezifungua
Wenyewe twajizuzua
Wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua
Mimi na yeye murua kwa waridi na vilua
Mimi na yeye murua kwa waridi na vilua
Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana
Kwa vyovyote mi tayari
Tena wataumwa sana
Kwa vyovyote mi tayari
Hata tukijulikana
Kwa vyovyote mi tayari
Tena wataumwa sana

UFUKWENI MWA BAHARi Q&A

When did SABAHA SALUM release UFUKWENI MWA BAHARi?

SABAHA SALUM released UFUKWENI MWA BAHARi on Thu May 13 2021.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com