Sana Sana by Wangechi (Ft. Scar Mkadinali)
Sana Sana by Wangechi (Ft. Scar Mkadinali)

Sana Sana

Wangechi & Scar Mkadinali

Download "Sana Sana"

Sana Sana by Wangechi (Ft. Scar Mkadinali)

Release Date
Mon Nov 26 2018
Performed by
WangechiScar Mkadinali
Produced by
B3NZ0N1T
Writed by
Scar Mkadinali & Wangechi
About

“Sana Sana” is a Swahili phrase that translates to: “especially”. In the song, Wangechi claims her love for weed, musical preferences, and her future ambitions, while Scar brags about his squad and highlights the struggles faced where he is from, over production by B3NZ.ON.1T.

It was the third song...

Read more ⇣

Sana Sana Lyrics

[Intro: Wangechi]
Nimeshoka, uh
Sana sana mi—
Sana sana sana mi huwanga
Yule dame, yule dame, yule dame
Yule dame, yule dame, yule dame
Kris could you play that beat again
Okay, twende

[Verse 1: Wangechi]
Ayy, nilipanda juu bila shaka
Si walisema nikihama nitablunder
I can do it on my own I'ma murder
Everything that I've been with it from the start up (Eish!)
But I brush it off na mswaki
Mi nasaka hizo dooh za mlami
Ndio niwachane na story za rap
Nijenge nyumba kwa bahari nikipush ma Hummer
Still pull up in the scene ka kafiri
The love put me up here si majini
So I'm just tryna make this work mara mbili
Maybe in this next try, I'ma make a killing
But anyway, it's God unchanged
This new flow that I cup's gonna leave a stain
And I'ma prove to everybody that I ain't the same
And sometimes I'ma change, hope you hear me saying that

[Hook: Wangechi]
Sana sana sana mi huwanga
Dame wa maspliff na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Kucheza hip-hop ama ragga
Sana sana sana mi huwanga
Chini ya maji, hutanipata
Sana sana keep it on the regular (Yup!)
Me, I keep it on the regular

[Verse 2: Scar Mkadinali]
Sana sana mi siko ukinisaka mchana
Usiku sacco jaba, njugu, kuchangamkanga
Ndio msupa akijipa nachapanishanga
Anabaki akiwika "Scar usikae sana!"
Maisha East ni noma huwezi survive, hama
Lakini at least mi naona ya leo si ka ya jana
Ju tunarisk wakora, ka si mabeast kwa corner
Wanakufrisk ni kama wanakudai bana
Kila design imeweza na washatii
We mwenyewe huwezi cheza unataka team
Mi ndio nilitumaga Redsan kwa Sapee
Ka unanitafuta we tembeza mtaa za East
So let it be known I came with the family
Rende ni Rong, we're nothing to play with
Ndani ya zone mashash Malawi
Cause I'm bad to the bone, you can't compare me
Yeah

[Hook: Scar Mkadinali]
Sana sana sana mi huwanga
Nigga wa maspliff na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Dame wa mahips na mahaga
Sana sana sana mi huwanga
Jiji na bado hutanipata
Sana sana sana on the regular
Me, I keep it on the regular

[Verse 3: Wangechi & Scar Mkadinali]
Sana sana sana mi ni yule dame
I keep it on the low, sipendangi fame
But mi napenda cash na madollar
Na hawa machali player player, Maradona
Na sana sana sana mi ni yule guy
Mwenye unadai toka East, mi sikudanganyi
Niko na grudge na mabeast, siwezi kujihide
Juu ya kuvuta ngwai kwenye streets, siwezi kudeny
Basi twende dutch 50/50
Sibongi story za ma bill kama Blinky
Yaani mi namada eight ukispit eight
Ngoma itashika, fans watakula bait
Washakubali ndio maana wamejitoa race
Si ni wenyeji hawa mafala ni matourist
Mzee mzima sikimbizwi, lazima nijitaje ndio verse iishe fiti
Scar!

[Hook: Wangechi, Scar & Both]
Sana sana sana mi huwanga
Dame wa maspliff na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Dame wa mahips na mahaga
Sana sana sana mi huwanga
Chini ya maji, hutanipata
Sana sana keep it on the regular (Yup!)
Me, I keep it on the regular

Sana Sana Q&A

Who wrote Sana Sana's ?

Sana Sana was written by Scar Mkadinali & Wangechi.

Who produced Sana Sana's ?

Sana Sana was produced by B3NZ0N1T.

When did Wangechi release Sana Sana?

Wangechi released Sana Sana on Mon Nov 26 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com