Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Katapilla
Wakadinali
Wakadinali &
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Domani Mkadinali & Scar Mkadinali
Wakadinali & Dyana Cods
Wakadinali & $ean Wire & Sir Bwoy & Virusi Mbaya
Wakadinali
Wakadinali & Dyana Cods
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Katapilla & Big Yasa & Ajay (KE)
[Intro]
Drillers Drillers
Shout out to drillers manze
Man a driller, yo
Ayo Chino, you again
[Verse 1]
Kama unajua mkondo, hatufollow exilo
Saa ingine si huingia Molo
Mono stereo hatujali, si bora tu utu-recordie vocals
Photo moto highlights, hadi siku hizi wanapause kwa koto
911 wana more calls, ya mwisho youts walinyuria mokoro
Pa! Pa! Pa!, manduru si huziskia hatukujua ni wezi
Labda auntie ako nditni anapigwa ki mechi
Life kwa --s ni crazy, kuna ule underage alipatiwa ukedi
Ready or not, si tukitokea iteni mavedi
Hauskii alifire na akahata, tukamgeuzia saii ako Langata
-- faster mutaratara, si hatuna time ya mangata
Uongo unakata utaacha kukana naona una lugha ya makanga
Dexter ilimarwa, sema kukacha kadera alihepa mambang'a
[Hook]
Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru na hata kanjo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (Murder)
Knock knock knock sato, ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot

[Verse 2]
Yo yo, walidhani mi ni John Kiriamiti
Ilikuwa nifungue, but wangenishika, key chini ya kiti spiliff kwa meza
Hao wasee wakawa-bribe na tenga, sin ilipigwa sogi alirenga
Black eye hadi anapandisia Rayban, labda swag ama anaficha radar
Neighbour jana aliniandalia pweza, dick ndani ya pussy drill hadi rengwa
May back mi sikuwa na pesa saii namanifest tu kitu ka Maybach
Daughter ka Laila so ukimcross mangumi, ngumi ka pay back
Raruka ka tailor, area flani mwere anatepwa na ketepa
Na after kuipepeta, make sure unaambia huyo bitch see you later
Pereka pereka, unajionanga mzing kumbe we ni hater
Makolo kwa mrenga na kuna jeshi imechafua bling hautapenda
Na sijawai ona mkeka tangu ramza but Jah ananipenda
[Hook]
Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru na hata kanjo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (Murder)
Knock knock knock sato, ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru na hata kanjo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (Murder)
Knock knock knock sato, ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
Patrol patrol kwa ndege
Wiu wiu wiu
Wiu wiu wiu
Patrol patrol kwa ndege
Wiu wiu wiu
Wiu wiu wiu
Patrol was written by SewerSydaa Mkadinali.
Wakadinali released Patrol on Fri Dec 17 2021.