Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Katapilla
Wakadinali
Wakadinali &
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Domani Mkadinali & Scar Mkadinali
Wakadinali & Dyana Cods
Wakadinali & $ean Wire & Sir Bwoy & Virusi Mbaya
Wakadinali
Wakadinali & Dyana Cods
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali
Wakadinali & Katapilla & Big Yasa & Ajay (KE)
[Instrumental]
[Intro]
Nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh (yoh)
Kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
Is this your girl dude?
Yoh, I'm sorry bro
Nilikuwa nikiingia high school
Naguzisha chogi anaacha uso
Pesa ni sabuni ya roho
Nikiwa mzee nitashika more
Pressure ya leo tunaiskuma moro
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
[Verse 1]
Weed is so good
I wish wangejua hivo
Wasee kama willis raburu
Mi ni bazu tuko streets
Hatuko kambi na hatuko kwa mbulu
Magagu wako biz
Hawataki tena kwenda
Kusimama kwa mbao maduu
Camp yetu ina mullah
Kidogo ata tufikirie kurecruit Karun
Splash them wet
Wakae ni kama wametoka kwa pool
Wako na games wanafaa
Wacheki carol radull
Energy mingi kushinda redbull
Come near utapigwa mangumi
Semaji biggie naona uko na pretty mama
Ametoka majuu?
Mi niko na ganja
[Kuna pill imeland?]
[Anajuana juu ya Nirvana?]
Best topic ni ya kuvaana
Hivyo ndio jana walimada kamwana
Marapper wengi wanafanana
Kwa hii drill
Guess who's their father?
Wengine walishindwa kuipata
Next thing naskia (yoh, yoh) anapiga my cover
[Chorus]
Nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh
Kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
Is this your girl dude?
Yoh, I'm sorry bro
Nilikuwa nikiingia high school
Naguzisha chogi anaacha uso
Pesa ni sabuni ya roho
Nikiwa mzee nitashika more
Pressure ya leo tunaiskuma moro
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
[Katapilla]
Sitoki jamaica
But I carry more
Guns like heritage
On a definite, we are delicate
I don't give a fuck
I'm celibate
Kitambo nilikuwa napiga lesser
Kukesha, silali mfuko bila tukis
Saa hii ni blessing, genge
Peng ting pull up in the place
Kaa ni gari two keys
Kataveli on the mic, mbuzi
Fans love, we know
They can never boo this
Utakutwa hii pande ukimblain
Chatty chatty na mastory za oduzi
Ukifika kwa mboka chapchap
Ukituma your demo kwa whatsapp
Ukumbuke kutuma mpesa you fucked up
Otherwise me i will not trap
Bro hatutaki uso
Ndio the reason we keep it a hundred
Siko kwa block
Na natafutwanga na landlady
Yeah we looking for cheese
Smoking khalifa mawiz
I'm up with the Gs
We trynna stack up the cheese
[Chorus]
Nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh
Kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
Is this your girl dude?
Yoh, I'm sorry bro
Nilikuwa nikiingia high school
Naguzisha chogi anaacha uso
Pesa ni sabuni ya roho
Nikiwa mzee nitashika more
Pressure ya leo tunaiskuma moro
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Wakadinali released Hatutaki Uso on Fri Dec 17 2021.