[Chorus]
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka DJ apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mamii dunga gas mask
Cheki ras ras, ako na cash cash
Where the bash at nichangamke chap chap
[Verse 1]
Kuna msichana flani hapa, msawa sana
Nikamuuliza kama anaona tukiwai achana
Ai apana, ju venye uwaga umeni murder
Figure namba nane love it ukichora saba
Yeesh
And that's just the half of it
'Cause if I ever tell them all, I know we'll split
Na singetaka, ju iwe Lagos ama Kampala
Anywhere we go bado nitadai ule mjanja
[Chorus]
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka DJ apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mamii dunga gas mask
Cheki ras ras, ako na cash cash
Where thе bash at nichangamke chap chap
[Verse 2]
Karas na need gala Real kama Madrid
Na ananipa, the lovе I need hata tukikasirikiana
Good girl gone bad na anakaa Rihanna
Ni madam classy, pia ni hustler
Ride-or-die kwa ma party ama ndani ya mansion
Si hupendana juu ya blackie ama ndani ya Jaguar
Anafanya na feel aki ka a hundred thousand
[Chorus]
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka DJ apull hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mamii dunga gas mask
Cheki ras ras, ako na cash cash
Where the bash at nichangamke chap chap
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka DJ apull hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mamii dunga gas mask
Cheki ras ras, ako na cash cash
Where the bash at nichangamke chap chap
Nairobi Girl was written by Chris Kaiga.
Nairobi Girl was produced by Debe Productions.
Chris Kaiga released Nairobi Girl on Fri Jan 28 2022.