[Intro]
(Ai)
Ati? Ati nini wewe (Sawa)
Kelele, Kelele!
[Chorus]
Naskia manduru na mashangwe na makelele (Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wanawetete (Ati? Madada wanawetete)
Ambia waiter tuko huku na maglass empty (Bana)
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele)
[Verse 1]
Vipi famalan form ya leo ni waralal
Toa form ni perform kama acrobat
Cheza na Bimmer nakam na magala
Wale wameiva pamoja na mzinga
Baadaye zikishika tucheza na six pack kadhaa
Mizinga kadhaa
Ndani ya bar zitushike ka skin tight
All night hadi wazime ma streetlights
Badilisha plus size to a slim type
Namsugua hadi namuwacha streamlined
Tonight (Tonight), mafisi wana-hunt for ma felines (Feline)
Leo atatembea angle inclined (Inclined)
ATM zitawika, "declined!" (Declined)
Magala wana figure ziko defined (Defined)
Ai, defined (Defined)
Ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
[Chorus]
Naskia manduru na mashangwe na makelele (Ati? Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wanawetete (Ay, Madada wanawetete)
Ambia waiter tuko huku na maglass empty (Bana)
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele)
[Verse 2]
Naskia ital (Ayy), naskia irie (Ayy)
Leo nawasha lighter pamoja na siren (Sss)
Leo napanga kupiga tizi ya ma bicep
Nikizipiga kama fighter na ma right-left
Na na-light dem hadi naskia enlightened
Mali swafi brathe, kitu high end
Vutia vaite supply yangu ni direct
Toa kabambe dial 0-7-9-8
[Chorus]
Naskia manduru na mashangwe na makelele (Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wanawetete (Ati? Madada wanawetete)
Ambia waiter tuko huku na maglass empty (Bana)
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele)
Bana
Kengele was written by Chris Kaiga.
Kengele was produced by Debe Productions.
Chris Kaiga released Kengele on Fri Dec 10 2021.