KIRA Lyrics

KIRA LYRICS

INTRO

Banana
It's the banana
Banana boy

HOOK

Usilie KIRA
We nyamaza KIRA
Usilie baby KIRA
Baby girl KIRA

Usilie KIRA
We nyamaza KIRA
Usilie baby KIRA
Baby girl KIRA

POST HOOK

Tuko juu angani kama ndege
Pia chini ya maji kama ngege
Tuko juu angani kama ndege
Pia kwenye grao kama njege

Tuko juu angani kama ndege
Pia chini ya maji kama ngege
Tuko juu angani kama ndege
Pia kwenye grao kama njege

VERSE 1

Me ni kama king kwenye ense ma
Alejandro kama Benzema
Ebu washa moto sinsima
Keys ni za kwangu za benzo ma
Oya dancee ma
Ka malaria the kid na ku fancy dah (fansidar)
Oh dada
Una good good and you badder
Unanifanya roho oh gaga
Pale Naija I 2baba
Ni kubaya baby ntaku kumba yeah
Ubaya me napenda thutha yeah
Ulaya si tumewazuga yeah

HOOK

Usilie KIRA
We nyamaza KIRA
Usilie baby KIRA
Baby girl KIRA

Usilie KIRA
We nyamaza KIRA
Usilie baby KIRA
Baby girl KIRA

POST HOOK

Tuko juu angani kama ndege
Pia chini ya maji kama ngege
Tuko juu angani kama ndege
Pia kwenye grao kama njege

BRIDGE

Tuko pale juu pale angani
Tukiwakilisha tuko ngangari
Angalia sisi ndo majabali
Number moja ukichecki nambari

Tuko pale juu pale angani
Tukiwakilisha tuko ngangari
Angalia sisi ni majabali
Number moja ukichecki nambari

HOOK

Usilie KIRA
We nyamaza KIRA
Usilie baby KIRA
Baby girl KIRA

OUTRO

KIRA Q&A

When did Raj (Rajville) release KIRA?

Raj (Rajville) released KIRA on Tue Sep 03 2019.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com