CHANCE Lyrics

RAJ - CHANCE ft LIL SLIQ, FAITHSTAN

VERSE 1

Nche no'omosacha
Young king baby im a Rasta
Came from a village im the typer
Give you the D, i get laid like pipe
And your type, ndizi iko ripe
Kama una psyche
We can even take a trip to Dubai
I'm that guy kwenye sky, fly
Ukiroll dice i can play with your ass really nice
I'm that nigga, its for realer
Girls wanna play with the kiddo
I don't want a nigga in the middle

REFRAIN

Kama unanitaka, call me maybe
Kama unanipenda, basi nionyeshe

HOOK
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali

VERSE 2

Nipe chance..
Yo
Nipee chance nistick kwako kama tatoo
Nirock bed yako daily yababadabadoo..
Nistick kwako kama chokosh na glue..
Hizi si pick up line hivi ndio mimi nafeel..
Ah
Nataka nikupe jinangu ya pili
Hata wakiniita nameless watajua we ni wahu (wa who?)
Wangu tu, na nitaringa tu
Put a ring on it i wanna marry you
Nikupeleke ocha ujuwe wakina mother
Naona ukinizika ju walai ushani murder..
Design naropoka manze nika siko rada...
Raada na ropoka maze siko rada..

REFRAIN

Kama unanitaka, call me maybe
Kama unanipenda, basi nionyeshe

Hook
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali

BRIDGE
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali baby noo !

REFRAIN

Kama unanitaka, call me maybe
Kama unanipenda, basi nionyeshe

HOOK
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
Nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali

OUTRO

Silali (silali...silali...lali...lali)
Silali (silali...silali...lali...lali)

CHANCE Q&A

Who wrote CHANCE's ?

CHANCE was written by Raj (Rajville).

Who produced CHANCE's ?

CHANCE was produced by .

When did Raj (Rajville) release CHANCE?

Raj (Rajville) released CHANCE on Sun May 20 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com