Download "KIKI"

KIKI by Wangechi

Release Date
Fri Apr 22 2022
Performed by
Wangechi

KIKI Lyrics

Yeah (yeah)
Wangechi

[Verse 1]
Ka unangoja niwache rap bruh zima ndom
Mi ni ka wewe naweza kosa msimamo
Nimemiss kuwapatia ma sing-along, na kutake pics with the girls kina Chimano
Usitry kunipima roho
Preps tuliskive tukazimia dorm
Ukona cash on your side na stash ya mangwai, ni ngumu we ukae wamekunyima doh
Ka ni mabanger unaweza kunihalla bro
Saii mnampenda, msisahau Kanambo
Beats mlijengwa, mukacome kumumble
Back to sender biz inacome na doh
Ni must kuwazima this year, waulize tunarap na kuimba this year
No cap manze mi hujiskia, nimeshinda na ball nataka mimba this year

[Hook]
Hii ni moja overload, inafanya waKristo waache kungoja God
Na huku juu niko all alone, mi hujipenda ni rahisi kunisoma jo
So if you see me acting carelessly, sio mimi it's the weed and the LSD
(Yeah) if you see me acting carelessly, I took too much of Hennessy

[Verse 2]
Si ngumu brathe kudecide, fuck politician anatengeneza rodi saii
HART kwa band, sina Mordecai, couple of fans wanna see me all the time
Girlfriends si lazima kujidai, si tuna kakitu na tunakaa simple
Intelligent, I got hustle on my mind, oh yeah I'm a Capricorn
Make your girl go down then she back it up
Uptown Downtown finna mash it up
Ni mayengs na madrinks piga flush
And for the record, we don't fuckin' care what's in the party cup
Mumekosa confidence, mbona munafocus na past events?
Labda hata nimeshika Mercedes, mukinicheki munauliza ju ya accident (Why?)
Manze mtanikoma nyinyi, munadai kuona venye nilishonwa nini?
Nishaona horror nyingi, ni watu kiasi manze walikuwa na mimi
Kidogo niwache rap, nikuwe shabiki
Hapana, the realest nigga na mimi bado ni mama
Hatuko bank pesa zetu ziko chama
Mi na bro hatubongi but ni sawa
Peng ting, naleta lawama
Enda KNT upeleke drama
Hao ma KOT upelekee umama
Kama hawatii buda utahama
Ka naidai mi ni must niwai
Nyi bado mnalipiwa keja it must be nice
Bila dredi ama vela mi ni ras walai
Uongo mi ni babii umenaswa bye
I know you love it, don't you?
Kaa rada album inadrop soon

Wangechi

KIKI Q&A

Who wrote KIKI's ?

KIKI was written by Wangechi.

When did Wangechi release KIKI?

Wangechi released KIKI on Fri Apr 22 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com