[Intro]
(Eh, eh)
(Eh, eh, eh)
(Eh, eh, eh)
(Eh, eh, eh)
(Eh)
[Verse 1: Chris Kaiga]
Sikosi uradi, nipate nime-chill na kabinti
Form ni mingi, hadi anashangaa na sisi
Kila siku ya wiki, get tipsy
Na niki-get doh, na-blow it all on the whiskey
Jack D, Jamey, now blame it on the Henny
We started out slow, nilikuwaje mlevi?
Ish too crazy, kukumbuka siwezi
Niliji-get tu home juu ya bed, nimebleki
[Pre-hook: Chris Kaiga]
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
[Hook: Chris Kaiga]
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
[Verse 2: Tezzla]
Nipe beat, nipe mic, karatasi, kalamu
Huu mziki ndio kazi naofanya kwa hamu
Juu nateka mali kama Boko Haram
Na ikijipa, basi nitawaandalia karamu
Bash mara that-that, tunakuja chap-chap
Tunakuja na gode, tei mpaka tap-tap
Ati? Shawty wants to take a snap
Ashatoa top, ashanikalia lap (Sikiza hii)
[Pre-hook: Chris Kaiga]
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
[Hook: Chris Kaiga]
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
[Verse 3: Chris Kaiga]
Mi, nime-chill inadi back
Juu watu huko mbele wako maji kama tap
Na kesho niko works
But venye zimenice, itabidi nime-flash mdosi
Aki-call back, aki ya nani, siokoti
Niko kando ya woofer na kelele ya mbogi
Kama ni ngori, basi kesi baadaye
Woah, niko cloud nine, eh, wasee, niko high
[Pre-hook: Chris Kaiga]
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
Si masoo, ni mangiri (Zimenice)
Dem mmoja, wawili (Zimenice)
Na ma-Tusker, ma-Pile (Zimenice)
Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice)
[Hook: Chris Kaiga]
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice (Zimenice)
Zimenice, zangu zimenice
[Outro]
(Eh, eh)
(Eh, eh, eh)
(Eh, eh)
Zimenice was written by Tezzla & Chris Kaiga.
Zimenice was produced by Debe Productions.
Chris Kaiga released Zimenice on Fri May 03 2019.