YEBA by Salmin Swaggz (Ft. Damian Soul & Maddoh)
YEBA by Salmin Swaggz (Ft. Damian Soul & Maddoh)

YEBA

Salmin Swaggz & Damian Soul & Maddoh

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "YEBA"

YEBA by Salmin Swaggz (Ft. Damian Soul & Maddoh)

Release Date
Fri Feb 28 2025
Performed by
Salmin SwaggzDamian Soul & Maddoh
Produced by
Bobo Made It
Writed by
Salmin Swaggz

YEBA Lyrics

[Intro: Maddoh]
Yeba, yeba, yeba, yeba

[Verse 1: Damian Soul]
Kalivyo simple hakana noma
Kashepu dede ka amechorwa
Chumbani soka ka Maradona
Michezo ya mbuzi kagoma
Ungeza utundu, niteke
Nitupe magongo, kiwete
Basi punguza mapepe
Na mi mazaga nilete
Baby yooh baby
Umenikamata kamatika
Mwenzio sijiwezi, nimeloa
Sijiwezi

[Hook: Maddoh]
Yeba, yeba, yeba, yeba
Yeba, yeba, yeba, yeba

[Bridge: Damian Soul]
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa

[Verse 2: Salmin Swaggz]
Naskia kuna viswaswadu vinakukataa
Wanakushangaa kwanini umedata na huyu jamaa
Unafanya mpaka najiuliza mama “Who am I?”
Wa kunipa vyote hujabikiza, nifungue tai, please
Usiwe sio, with your Dior
You killing me ohh!
So treat me like your daddy oh
Wasikudanganye wakakushika maskio yeah
Umbea umbea wasiniletee
Na hilo shepu lako unanifanya niwe, (yeba)
Na nnavyompenda mjomba usihadithiwe, (yeba)
Smart kama K. Ntuyabaliwe (yeba)
Niache nikutunze wasije wakaku beba
Kashanichanganya na mapenzi, (penzi)
Nahonga mshahara wote kila mwezi, (mwezi)
Moyo ushapagawa na mikiki, ashanigombanishaga na marafiki
Kisa tu utamu jamani

[Bridge: Damian Soul]
Baby ooh baby
Umenikamata kamatika
Mwenzio sijiwezi, nimeloa
Sijiwezi

[Hook: Maddoh]
Yeba, yeba, yeba, yeba
Yeba, yeba, yeba, yeba

[Bridge: Damian Soul]
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa

[Outro: Maddoh]
Yeba, yeba, yeba, yeba
Yeba, yeba, yeba, yeba

YEBA Q&A

Who wrote YEBA's ?

YEBA was written by Salmin Swaggz.

Who produced YEBA's ?

YEBA was produced by Bobo Made It.

When did Salmin Swaggz release YEBA?

Salmin Swaggz released YEBA on Fri Feb 28 2025.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com