Wanakutamani by Rich Mavoko
Wanakutamani by Rich Mavoko

Wanakutamani

Rich Mavoko

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Wanakutamani"

Wanakutamani by Rich Mavoko

Release Date
Mon Jun 12 2017
Performed by
Rich Mavoko
Produced by
S2Kizzy
Writed by
Rich Mavoko

Wanakutamani Lyrics

Verse 1
Naomba Utunze Heshima
Ulilinde na jina
Nimekukabidhi mtima
Aliyenipa na jina
Yote nimekubali mimi
Mie niko tayari niamini

Bridge
Nikiwa chizi ni wewe
Aaaaahh Eeeeehh
We ndo sababu
Sitaki moyo wangu uchezewe
Aaaaahh Eeeeehh
Ntapata tabu
Nachotaka kuzaa na wewe
Aaaaahh Eeeeehh
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe
Aaaaahh Eeeeehh
Bibi na Babu

Chorus
Wanakutamani Hao
Wanakutamani Hao
Wanakutamani Hao
Mwenzako nia ninayo
Wanakutamani Hao (Me nawajua Baby)
Wanakutamani Hao (Watakuchezea Mama)
Wanakutamani Hao (Wakishakuvua Baby)
Wanakutamani Hao (Watakuacha Solemba)

Verse 2
Me nawe Waarabu kwa Wapemba
Tunajuana baby kwa vilemba
Miaka rudi tena miaka nenda
Hawaning'oi hata kwa defender
Yako thamani
Mwengine sijawahi kuona mama
Usiniweke mashakani
Wakakudanganya kwa punje za mtama

Bridge
Nikiwa chizi ni wewe
Aaaaahh Eeeeehh
We ndo sababu
Sitaki moyo wangu uchezewe
Aaaaahh Eeeeehh
Ntapata tabu
Nachotaka kuzaa na wewe
Aaaaahh Eeeeehh
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe
Aaaaahh Eeeeehh
Bibi na Babu

Chorus
Wanakutamani Hao (Oooohh Oh Oh)
Wanakutamani Hao (Wanakutamani Mama)
Wanakutamani Hao (Wanakutamanii)
Mwenzako nia ninayo (Achana Nao oh)
Wanakutamani Hao (Wanakutamanii)
Wanakutamani Hao (Baby baby)
Wanakutamani Hao (Wanakutamanii)
Mwenzako nia ninayo

Outro
Moyo Wangu me nakupa Baby
Usasambue...!
Usasambue...!
Me nakupa
Usasambue...!
Fanya unavyotaka
Usasambue...!
Usasambue...!
Ubakishe mifupa
Usasambue...!
Usasambue...!
Uniburuze kama guta
Usasambue...!
Usasambue...!
Usasambue...!
Usasambue...!

Wanakutamani Q&A

Who wrote Wanakutamani's ?

Wanakutamani was written by Rich Mavoko.

Who produced Wanakutamani's ?

Wanakutamani was produced by S2Kizzy.

When did Rich Mavoko release Wanakutamani?

Rich Mavoko released Wanakutamani on Mon Jun 12 2017.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com