Kumbato na busu
Ndio vyakunidanganyia
Nami niamini napendwa kwenye Dunia
Je nikigeuza shingo unanifikiriaga?
Mbona nikipiga sim hutak kupokeaga!
Sina dhamana
Sijakuzaa
Unamaamuzi yako
Kumpenda anaekufaa
Ningejaliwa Mali
Ningekupa
Usiwaze mwingine tena
Unipende tuu mi Dada
Umenikoleza na nimekolea
Nikajua moyo utatulia
Kwenye Jamvi yeah
Sikuja kwako mi nije kulia
Niliona Furaha dear
Nikaweka kambi yeah
Nitafanya ninachoweza
(Ili unitoke kwenye akili yangu)
Na moyo wangu
(Unitoke)
Kama muda nimeshapoteza
(Ili unitoke kwenye akili yangu)
Na moyo wangu
(Unitoke)
Unitokeee
Siwez kujidanganya
Najua wanichanganya
Mwenzangu amenizidi utundu
Huwa nakuona
Mara nyingi ukiongea nae
Natamani nianzishe mavurugu
Sina dhamana
Sijakuzaa
Unamaamuzi yako
Kumpenda anaekufaa
Ningejaliwa Mali
Ningekupa
Usiwaze mwingine tena
Unipende tuu mi Dada
Umenikoleza na nimekolea
Nikajua moyo utatulia
Kwenye Jamvi yeah
Sikuja kwako mi nije kulia
Niliona Furaha dear
Nikaweka kambi yeah
Nitafanya ninachoweza
(Ili unitoke kwenye akili yangu)
Na moyo wangu
(Unitoke)
Kama muda nimeshapoteza
(Ili unitoke kwenye akili yangu)
Na moyo wangu
(Unitoke)
Unitokeee
Ibrah-nation released Unitoke on Fri Aug 09 2019.