Unanichukia by Yammi
Unanichukia by Yammi

Unanichukia

Yammi

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Unanichukia"

Unanichukia by Yammi

Release Date
Fri Aug 22 2025
Performed by
Yammi
Produced by
Click Master
Writed by

Unanichukia Lyrics

[Verse 1]
Mhh upepo uvumao mashariki
Unipepee kwa magharibi
Na roho iponee
Labda ungesema kwa lipi ambalo sikufai
Na ukipata muda uje unione

[Pre Chorus]
Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
Au ule ujazo wa bahari umeshapungua
Kule kunipumba pamba kwa zawadi
Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
Panapo majaliwa
Siku tukija tena kuonana
Usisite kunisalimia
So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

[Chorus]
Najua unanichukia
Ahh unanichukia ooooh
Najua unanichukia
Ahh unanichukia, unanichukia ooooh

[Verse 2]
Macho yatazama mbali
Ila mi sioni mbele ukungu
Katu wa moja habebagi mbili
Hua nachekaga usoni, ya moyoni anajua Mungu

[Pre Chorus]
Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
Au ule ujazo wa bahari umeshapungua
Kule kunipumba pamba kwa zawadi
Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
Panapo majaliwa
Siku tukija tena kuonana
Usisite kunisalimia
So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

[Chorus]
Najua unanichukia
Ahh unanichukia ooooh
Najua unanichukia
Ahh unanichukia, unanichukia ooooh

Unanichukia Q&A

Who produced Unanichukia's ?

Unanichukia was produced by Click Master.

When did Yammi release Unanichukia?

Yammi released Unanichukia on Fri Aug 22 2025.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com