[Verse 1]
Jasho lilinitoka mwenzenu
Aata kwenye IC
Yule niliisema ni shemeji yenu
Amenipandisha BP
[Pre Chorus]
Ngumi mkononi kufa na maungoni
Yemi sijazoea
Yanamtoka mdomoni nakosa silioni
Mwenzangu ananifokea oh no‑no
[Chorus]
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
[Verse 2]
Mambo ya kulilia mapenzi
Ni miaka tisini kushuka chini
Watoto elfu mbili hawawezi haya mambo
Lilowekea akilini
[Pre Chorus]
Ngumi mkononi kufa na maungoni
Yemi sijazoea
Yanamtoka mdomoni nakosa silioni
Mwenzangu ananifokea oh no‑no
[Chorus]
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tenaa
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani