[Intro]
Hey!
Tiktiktik Tii!
Iyoo Lizer!
[Verse 1]
We Mama Njoo
Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika
Tanzania Ya Leo Oooh!
Imejengwa Imejengeka
Pita Ubungo Tazara
Za Juu Barabara
Tayari Zinatumika
Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage
Karibu Inakamilikaa!
[Chorus]
Tanzania Ya Sasa Mama
Aii Mama!
Ya Magufuli Mama
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama
Aii Mama!
Inapendeza Sana
Aii Mama!
Tanzania Ya Sasa Maama!
Aii Mama!
Ya CCM Mama
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama
Aii Mama!
Inapendeza Sana
[Bridge]
Nasema Jua Lile Literemke Mama
Jua Lilee Literemke Mama!
Nasema Wapinzanii Watetereke Sana Eh!
Wapinzanii Watetereke Sanaa!
Jamani Jua Lilee Literemke Mama Eeh!
Jua Lile Literemke Mama!
Wabaki Wapinzanii Watetereke Sana Eh!
Wapinzani Watetereke Sana!
[Verse 2]
Eeh!
Wazee Watoto
Wanawake Hospitali Buree
Buree Magufuli Uyoo!
Elimu Ya Msingi
Pamoja Na Sekondari Bure
Bure Magufuli Huyo!
Eeh!
CCM Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Magufuli Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wapinzani Wamekaa (Kaa!)
Kaaa (Kaa! Kaa!)
Wamekaa (Kaa!)
Kaaa (Kaa! Kaa!)
Dokta Shein Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Mama Samia Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wapinzani Wamekaa (Kaa!)
Kaaa (Kaa! Kaa!)
Wamekaa (Kaa!)
Kaaa (Kaa! Kaa!)
Majaliwa Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Na Bashiru Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wapinzani Wamekaa (Kaa!)
Kaa (Kaa! Kaa!)
Wamekaa (Kaa!)
Kaaa (Kaa! Kaa!)
[Chorus]
Tanzania Ya Sasa Mama
Aii Mama! (Eeeeh!)
Ya Magufuli Mama (Ieeh Eh!)
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama (Tanzania Hiii!)
Aii Mama! (Ya Leo!)
Inapendeza Sana (Ya Magufuli!)
Aii Mama! (Mama Weeewe!)
Tanzania Ya Sasa Mama
Aii Mama!
Ya CCM Mama (Heeee Eeh!)
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama (Heeee Eeh!)
Aii Mama!
Inapendeza Sana (Inang'arang’ara Inang'araa)
Aii Mama!
[Bridge]
Nasema Jua Lile Literemke Mama (Tii! Tii! Ti!)
Jua lilee Literemke Mama!
Nasema Wapinzaniii Watetereke Sana
Wapinzanii Watetereke Sanaa
Jamani Jua Lilee Literemke Mama Eeh!
Jua Lile Literemke Mama!
Wabaki Wapinzanii Watetereke Sana Eeeh!
Wapinzani Watetereke Sana!
[Outro]
Mzee Mangula Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Polepole Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wabunge Wote Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Kamati Kuu Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wajumbe Wa NEC Haii (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wenyeviti Wa Mitaa (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wenyeviti Wa Vitongoji (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Mabalozi Haii (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Heee!
CCM Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wanachama Hai (Hai!)
Hai Hai (Hai! Hai!)
Wapinzani Wamekaa (Kaa!)
Kaa (Kaa! Kaa!)
Wamekaa (Kaa!)
Kaaa Aaaah!
Tanzania Ya Sasa was written by Zuchu.
Tanzania Ya Sasa was produced by Lizer Classic.
Zuchu released Tanzania Ya Sasa on Sat Jun 13 2020.