Chorus
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii X2
Verse 1 – Gosby
Gosby Carlito Brigante Tony Montana, wakiniona wenye wanahama/
Hata siku moja huwezi kuniibia mi Namanga/
Nawanangu Mzimu wa Babu we watakumunga/
Demu wako yuko Maison unajua anadanga/
Amekuzuga analala yuko huku anadanga/
Akidaka chupa za Henny baadae wanammanga/
We unajua baadae wa nammanga/
Busisi / life ni fupi/
Sio sisi nahisi ni news/
Full Biii that kid is too sick ni wa Biiii/
Chorus
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii X2
Verse 2 – Gosby
Fuck you tryna know my name/ Y'all ain’t know me bro?
Nacheki kama uko na name sikuoni bro/
Ebu cheki again inamaana huoni soo/
Hawa ndio wananiboa tena sio kidogo/
Like how do you go out na huna cash/
Like how you get money halafu zote unaenda kubet/
Are you for real dawg? Is you for rеal dawg?
Fly boy utasema niko Chicago/
Na fly doors my nigga that shit is Lambo/
Wanacheka kwa mbali Huh Gozi mambo/
Si mwaka jana mligoma kutoa mambo/
Bobo my nigga amesеma we're going viral/
Chorus
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii X2
Speed was written by Gosbert Kibanza.
Speed was produced by Bobo Made It.