[Hook]
Ni stupid ku-argue na fools, so siwezi argue na fool
Nakaanga cool, naona ma-snake—
Wameona cheque wakaanza ku-drool
Ni ka wako ma shroom, najua magoons
Naangusha chwani unaona plateau
Nimekuja mtaani na wako na tools
(Piu! piu! piu! piu!)
[Verse 1]
Ngojeni, ni ash ni medi
Relax niwafanye wa-sound ridiculous
Mshaharibu waks, siezi watrust
Nyi ni ka Sunday hamnanga class
Mi siendi loss, acha nicheke
Unaongea ni ka we ni boss
Unadai kulipwa ni ka we ndio boss na unaniitanga “munene”
Hamjui nani mmecross, ask your sources nani ndio sos
Hii ni ka breakfast nyote ni ma-toast
Sausage samos’ hamna asante
Cash cow ka hatulipani, ma agent wanaendeshaje ma Porsche
Kimbia kwa blogs enda ukatafute public support ubuy nayo mkate
Circle ni small, wa-real ni wa few wengi ni ma actor
Nimeskia iko mtu wa mkono analia ati anataka kulipwa kama contractor
Hao ni ma-Cancer!!
Mfereji imefungwa kama hio chapter
Acha sa tuone nani atakukanja
Vile hapa ulikuwa unakanjwa
Unakula buzz ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si hata maziwa
Lines napiga unaona tu red, kalilie masoldier unavamiwa, wow
[Hook]
Ni stupid ku-argue na fools, so siwezi argue na fool
Nakaanga cool, naona ma-snake—
Wameona cheque wakaanza ku-drool
Ni ka wako ma shroom, najua magoons
Naangusha chwani unaona plateau
Nimekuja mtaani na wako na tools
(Piu! piu! piu! piu!)
[Verse 2]
Shinchilla leo niko kazi
Na sina patience ya fitina, whiskey na mimi na Black
Fuck hawa madwanzi!!
Hao ni mambilikimo wamesimama kwa shoulder za shark
Tamaa ya ganji inafanya BP inapanda wivu inakupea heart attack
Wanaomba maji na hata sijamaliza kuwapepeta, hii ni counter attack
Ati mnatry?
Ati kuniharibia image?
Fuck hio image, tuongee ukweli
Naongea mavi, unanusa sewage
Hatufanani, hatutoshani, unalisha family nalisha village
Nakuwanga boss unakuwanga worker
Media ikipita hio ndo leakage
Chungana na ras, gold ndio color kwa glass
Madranya wananiona wanablush
Drip ya hao mafala inaclash
Shin ndo jina mafan wanatrust
Udaku ni ufala, heshima ni must
Gossip ni ufala, heshima ni must
Na ukipima nacrash
Unakula buzz ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si hata maziwa
Lines napiga unaona tu red, kalilie masoldier unavamiwa
Wow!
Unavamiwa (Wow!)
SILENCER was written by Nyashinski.
SILENCER was produced by DTX.
Nyashinski released SILENCER on Fri Sep 13 2024.