[Verse 1]
Hicho kibali umenipa
You know why eeh
Sina cha kukulipa
Kwangu you’re the one eeh
Unajua wapo wasionipenda
Lakini bado unanikinga
Upo Nami kila ninapokwenda
Hata kama ni sehemu usizopenda
[Pre Chorus]
Wanatamani wanilaze macho
Ama kabisa nisione
Nisiwe hata na nilichonacho
Ila unaning’aza wanione
Aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
Aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
[Chorus]
Shukurani Kwako, uzima umenipa wewe
Shukurani Sana
Kila dakika kila wakati
Shukurani Baba
Shukurani (ooooyeaaayeah)
[Verse 2]
Milango inazidi funguka
Na bado I am winning
Nikitazama nilipotoka
I am grateful unanibariki
Wanadhani yangu taaa itaZima
Mbona watasubiri sana
God’s making me shine like a star
Kila nnachomuomba ye hufanya
[Pre Chorus]
Wanatamani wanilaze macho
Ama kabisa nisione
Nisiwe hata na nilichonacho
Ila unaning’aza wanione
Aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
Aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
[Chorus]
Shukurani Kwako, uzima umenipa wewe
Shukurani Sana
Kila dakika kila wakati
Shukurani Baba
Shukurani (ooooyeaaayeah)
[Bridge]
Never seen this kind of love before
Never seen this kind of love before
Never seen this kind of love before
Never seen this kind of love before
[Chorus]
Shukurani Kwako
Uzima umenipa wewe
Shukurani Sana
Kila dakika kila wakati
Shukurani Baba
Shukurani (ooooyeaaayeah)