[Verse]
It is I (I)
Muliambiwa na who? (who)
Ulini-missile Osama Bin mta-do? (do)
Kwa mic mi' ni Mike kushinda Sonko (we wacha!)
Na na-run Nai kushinda Sonko (we wacha!)
Na siwachi kabisa
Si unajua niko na charisma ya E-Sir
Tangu jo anipe torch na chance (chance)
Niko mtaa zote kama odi dance (mashinani)
Na mi' ni m-timeless kushinda Noel
Na zungusha ka mosquito coil
Kuna wale wanachezwa TV na tunajua sio talent
First class mimi na sio Bow Wow challenge
Dame wako aki ni-meet ndio atakuwa ako kissed
Tangu niingie wana-migrate kama wildebeest
Kama morning glory I say niko ndani
Na na-talk dirty kama Maina na King'ang'i
Kwani wata-do?
Niambie wata-do?
Wakuje na Nancy Drew hawatapata clue
Kwani wata-do?
Niambie wata-do?
Ma-kings wako kibao na simaanishi wengi
Yaani wamekunywa na maubao wanaeza afford tu kibao
Ndio maana kwa shows wanakula mambao, wametupa mbao
Hata ma-queens wao waniletee siwezi wapea hata kama nimembao
Round One was written by King Kaka.
Round One was produced by The Other Guys.