Groovy Swahili hip hop, also known as bongo flava, with sung vocals on chorus. Mellow mixture of guitars and beats, new and old.
Intro [Chid Benz]
Ladies and gentelemen, Yeah
Mika Mwamba presentes Chid Benz
Chi chi chi chi chi chiii, Ahaaah!
Bongo Flava, Bongo Bongo, Bongo Flava Ahaa
Bongo Flava, Bongo Bongo, Bongo Flava Aaaa
Verse I: [Chid Benz]
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa
Pata jibu uuh/
Ukiwepo wee ndo chanzo kunipoza nafsi yangu
Ninapo pata majaribu uuh/
Nakwaaamiiini bila yamini we ndo dawa kunitibu uuh/
Naweza tamba nje kote ila kwako sithubutu siwezi hata kujaribu/
Kote niliacha ujinga sitaki, Usije ukaniacha nongwa staki/
Kwani nisivyotaka, Ni kwako haki bora kukupata oh mama weeh/
Kote niliacha ujinga sitaki, Usije ukaniacha nongwa staki/
Kwani nisivyotaka, Ni kwako haki bora kukupata oh mama weeh/
Chorus: [Mzee Yussuf]
Nipe raha za dunia, niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, kwenda kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Mash'Allah
Verse II: [Chiz Benz]
Kwanza desturi na mila, mzuri wa tabia
Akili timamu sio taahira, mpole nikikosa hauna sura ya kuzira
Mapenzi yako moto, nawashinda tatu bila bila bila
Umenishika siwezi ongea, wengine wote wamepotea
Usiniache safarini taratibu nasogea
Dar, Moro, Songea, Rock City, Nachingwea
Nchi zote tutakwenda, wawili kama pair
Chorus: [Mzee Yussuf]
Nipe raha za dunia, niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, kwenda kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Mash'Allah
Raha za Dunia was written by .
Raha za Dunia was produced by .
Chid-benz released Raha za Dunia on Wed Mar 23 2011.