PREE Lyrics

[Intro: Ajay]
(Ooh, Johnny)
Yoh, yoh, yoh
Tano nane
Skia kwani ni kesho?
Yoh

[Chorus: Ajay]
Ju mi ni star, kaa JB, anipa head, no brainer
Chali yake anampa stress, anateta ni mbleina
Bad bih kila saa ananicheki ana-pree, ana-pree, anago on her knees
Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang ina-win

Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang inawin

[Verse 1: Ajay]
Bad bih lakini anatekwa na Chrome
Hawa mahoes, kwa DM, wamecrome
Ask my ex I'm toxic, haezi niacha ju ya hii bone

Yoh, 24/7 studio narap
Bitches keep blowin' my DM uh, from AM to PM
Sometimes mi hu act like I didn't see 'em
Wananipenda juu ya fame, najua dis hoes don't love me
Naenda supеr greazy mode, ni ma wreck kama Bookеr T

[Chorus: Ajay]
Ju mi ni star, kaa JB, anipa head, no brainer
Chali yake anampa stress, anateta ni mbleina
Bad bih kila saa ananicheki ana-pree, ana-pree, anago on her knees
Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang ina-win
Ju mi ni star, kaa JB, anipa head, no brainer
Chali yake anampa stress, anateta ni mbleina
Bad bih kila saa ananicheki ana-pree, ana-pree, anago on her knees
Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang inawin

[Verse 2: Mr Right]
Ajay unaclaim huyu mpoa, ana-pree, ana-pree, ana-pree anago on her knees (Knees)
Anapenda kupelekwa out, az in, anapenda matreats (Treats)
Ukimuuliza anapenda macakes, ukimuuliza anapenda macreams
And she always on the crib, fine bih anapenda kupiga mapics
Opp boy amecatch mafeelings, mpoa wake anaroll na team (Gang)
Amechoka ku buy-iwa ma pizza anataka nimwoneshe hii life ya East (.58)
Anasema ma friends indeed, sometimes anadai kunikiss
Anasema ma friends indeed, so-sometimes anadai kunikiss
Everyday tunakuwanga mameds, strictly hizi tracks ni ma overdose (Yo)
Wanauliza wana ask ni nini? Ni wapoa tume overload
Nimeball nimeball drip zangu, it's all on me sitai kopa doh (Zii zii)
B-Boyz sisi ni madon, don junior ki El Chapo (Po-po)
Like it or not, ngoma zetu ziko on repeat
Tunachafua hizi mashow, top boy tunawaacha wakisweep (Sweep, sweep)
Si tuko fresh, fresh, fresh kama daily milk (Fresh, fresh)
Ni aluta kibiriti, ni masteam na matopper tingz

[Chorus: Ajay]
Ju mi ni star, kaa JB, anipa head, no brainer
Chali yake anampa stress, anateta ni mbleina
Bad bih kila saa ananicheki ana-pree, ana-pree, anago on her knees
Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang ina-win
Ju mi ni star, kaa JB, anipa head, no brainer
Chali yake anampa stress, anateta ni mbleina
Bad bih kila saa ananicheki ana-pree, ana-pree, anago on her knees
Anadai kuhang na team, anadai kuhang, ju gang inawin

PREE Q&A

Who wrote PREE's ?

PREE was written by Ajay (KE) & Mr Right.

When did BURUKLYN BOYZ release PREE?

BURUKLYN BOYZ released PREE on Wed Apr 13 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com