Penzi Wa Kasi by Njerae
Penzi Wa Kasi by Njerae

Penzi Wa Kasi

Njerae * Track #2 On Unintentional

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Penzi Wa Kasi Lyrics

[Verse]
You're telling me this, telling me that
Saying that you won't ever have to think twice
Ukipata nafasi hupotezi wakati
Saying that you won't fall back, no way
And all you need to show me is just one day
Ukipata nafasi hivyo ushakuwa chali
Juu saa zingine tunavibe and you know that's alright
I know you know we've made it through so many nights
Na hiyo time inapofika, you know you're the one mi nitaita
Itika nikufikie bado unirudie
Mapenzi ni ya bure utaachwa usisinzie

[Chorus]
Take it nice and slow, don't get lost, oh no
Kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi

[Post-Chorus]
Na kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri no
Na kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri

[Bridge]
Ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh
Ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh

[Outro]
Kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi

Penzi Wa Kasi Q&A

Who wrote Penzi Wa Kasi's ?

Penzi Wa Kasi was written by Njerae.

Who produced Penzi Wa Kasi's ?

Penzi Wa Kasi was produced by .

When did Njerae release Penzi Wa Kasi?

Njerae released Penzi Wa Kasi on Mon May 06 2024.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com