Payday by Sanja Kong (Ft. Country Wizzy & Salmin Swaggz)
Payday by Sanja Kong (Ft. Country Wizzy & Salmin Swaggz)

Payday

Sanja Kong & Country Wizzy & Salmin Swaggz

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Payday"

Payday by Sanja Kong (Ft. Country Wizzy & Salmin Swaggz)

Release Date
Thu Sep 05 2024
Performed by
Sanja KongCountry Wizzy & Salmin Swaggz
Produced by
Sanja Kong
Writed by
Salmin Swaggz & Ibrahim Mandingo

Payday Lyrics

Jua kali lazima ni win
Hata Kama haijakaa kwenye way
Na usiku wanakuja mademon
Wachawi wanga wanataka nipotee
Fashooo, I do not stop
Mutanikuta juu on top
Mafoo wengi wamejaa
Kwangu mumeyavagaa
Kama unajua unajua tu
Kama hujui hujui hujui tu
Boda nimevuka mbali sikuachi mwanagu
Tanto Scooby Doo
Kama unahate nahate tu
Kama una love na love I love you too
OG codes, yeah we keep it true
Movement like a soldier 26 number ananipa order
Huu ni mguu wa kutoka umeshabarikiwa umeoga
Nachana kia boda, kila chocho na kila kona
Nawakimbiza wanaona wamekwama na wanaona

Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege

Mayday Mayday
Airport control tell em we made it
Siko na begi niko na kadi niko na bebe bebe
Stunt zangu over 18, mabusu kede kede
Mtoto flani hivi mtu mbadi uno ni gwede gwede
Kwenye vita unataka peace
Kwa demu wako unataka unidiss
Yani ta ta ta ta kama biss
Nampiga kibunda nampiga na kiss
Na unajua tukilenga hatumiss
You aint getting it better than this
Unaniponiona ndo niko na ofisi
Tuko na stake, mifupa kwa fisi
Be Be Belair ziko mezani
Na na naelea tu kwenye mjani
Unahisi naelewa unachosema kumbe mwenzako nachora ramani
Ukisema balling toka zamani
Ukisema beef hapa amani
Haters wameshakata katani (ani, ani)

Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege

Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Ukituona batani tunaball, tuko very very
Mayday Mayday
Muda wa pesa, payday payday
Maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege

Payday Q&A

Who wrote Payday's ?

Payday was written by Salmin Swaggz & Ibrahim Mandingo.

Who produced Payday's ?

Payday was produced by Sanja Kong.

When did Sanja Kong release Payday?

Sanja Kong released Payday on Thu Sep 05 2024.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com