[Intro]
Ayo, AstroYouFye
You know what time it is...
LuigiGotTheSauce boy
[Hook: Khaligraph Jones]
Niko na form, nawakemba
Nawa-bomb na ma-banger
Niko zone, Akuku Denja
Mi ni don, Papa Wemba
Niko na form, nawakemba
Nawa-bomb na ma-banger
Niko zone, Akuku Denja
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
[Verse 1: Khaligraph Jones]
Papa Wemba, cheki mrenga
Bogi benda, flow ni kwenga
Dooh za KEMSA
Niko ma-tender, niko matenga
Hu' bro ni mwenda?
Fika chambers, Umo, Emba
Zimeturunda ni ka ni December
Na mi si minor, ju nime-Njenga
Punguza temper, heshimu bazenga
I had to man up, we had to gang up
To stack them bands up
Nairobi stand up
Rеspect the brand (What!)
I'm on demand (What!)
You know thе plan? (What!)
You understand? (What!)
[Verse 2: Brand UB]
Mi si punk, mi ni ghetto fabulous, nigga
Babu yao, mi ndio Grandpa, usitaje Refigah
Toka enzi za ma-cassette, kwa game mi ni asset
Kwa ma-dame mi ni chocolate, wembe? Nacet
Hapa una-deal na Boss, boss
We don't floss, kama E-Sir tu ni "Moss Moss"
Boy wa ghetto lakini vako za ki-soss-soss
Kutesa kushinda ile mbogi ya wash wash
We've been making this cash, yeah
Kabla hustle inspiration ni ki-shash-de
Boy matata, boy m-Rasta, boy smarta
Signing out: Brand UB, top shotta
[Hook: Khaligraph Jones]
Niko na form, nawakemba
Nawa-bomb na ma-banger
Niko zone, Akuku Denja
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
[Verse 3: Visita]
Kwani mlidhani ni akina nani?
Si ni Wesonga na Omollo
Ukijifanya haujui chemshwa bongo
Pigwa ngoto kwa kisogo
I never told you when I will be back- Hihi-hehehe!
'Cause I'm with you till I die (forever)
With all these blessings that I got (Amen)
I can only thank God
Kuna mengi nimepitia, jina midindo everything
I don't give an F, I give a D, na ni D for discipline
Man I feel like I got this energy, like I can do anything
Like I can just leta matata, like I can just rap this quick
Kitu unafaa tu kujua, Sita na Khali ni chuma moto sana
Na si eti kuchochana, Tony Montana
Collabo ni gangsta sana
Papa de Wemba na Master Girimba
Bibi amenuna, I hope ana mimba
Nimeshika tembo na roho ya simba...
[Verse 4: Kenrazy]
The never peek on me, wanagwaya ku-speak on me
They retire, I'm still on it
Mi nachoma, I'm spitting heat
KK: Khali - Kenrazy
KK: Kali kiukweli
KK: Kenyan Kings
KK: Kofia - kaptula
Niko na mic, dame ana-nishow matiti, mi sonko
Weapon ni mic, so sita-bite masikio ka Tyson
Kazi ni mic, mtanipenda forever ka Jackson
Kwa hii rap game ni-compare na Mike, mi ndio the GOAT, Jordo
Wife yangu ndio dame msupa wako hutaka kukuwa
Naosha ma-rapper wananipea kazi mingi, daily mi nafua
Afadhali dictator kushinda mkabila we kama unajua, unajua
Kama ikus, ukini-fuck up bado utarudi tu kunishtua
Razy form?
[Verse 5: Zakah]
Heshima kwa wingi na-get
Lazima mabinti wa-bend
Amina nazidi ku-trend
Fitina, saliti, uko dead
Rada napanda na pace
Papa ana-murder hii case
Nahanda madanda, behave
Niko ganja na jaba na gauge
Nakinda madhwanga kwa hood
Mjinga pang'ang'a umekuf'
Trigger inakanga ma-fool
Tapika unahara kwa loo
Trouble mwenyeji, umedoze
Nahandle machete na chrome
Scandal na kesi za court
Na bado nawa-take na flow
Muda ni ya buda Zakah
Naunda, natunga sanaa
Unga naskuma masaa
Tunza nafunza daras'
Mzuka, nakupa ma-verse
Ruka ukuta, ume-crash
Zusha, nakuja na gang
Shtuka umeamushwa na gang
Zaga niliziacha before
Kijana ni "Kichwa Kibov"
Nachana mambichwa, ni dope
Bishana unafinywa kitov, we!
Vijana wanaandika wasia
Chokora mapipa, career
Dandora mnatupa ghasia
Wakora wanawadunga, kimbia, we!
[Hook: Khaligraph Jones]
Niko na form, nawakemba
Nawa-bomb na ma-banger
Niko zone, Akuku Denja
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
[Verse 6: Gaza]
Tingika na mabega, kubali we ni member
Wajua debe shaker
Nobody does it better
Nina ma-flavors, every taste-buds
Na inaweza, aaah
I'm a master wewe ni wenga
Wewe ni upepo, unapitia
Toka zama mpaka leo, kila na-touch inakuwa gold
So let me show you the way... (show you the way)
So let me show you the way...
Sio utumwa, nipe heshima
I'm the man, ule m-G nakupa bangers
Bado ni mwaki, stacking the brown paper
Niko na form na makali but no chaser
[Verse 7: Agano]
Chapwa wenga, vi-kishenzi
Round kick, upper cut niki-lazy
Mi ni buda wa mapenzi
Uliza Liz na dadake pia na Daisy
Mpaka Beijing, I'm amazing
Kuna Wing Chang Chu na MacKenzie
Hapa ni rap, 1-2 on the present
Piga pause, ji-refreshi
After shower you go boss, ka-marashi
Buda boss, mi si-force
Ni ka-flow na kametoka tu, hi ni sossi
Yeah, na si-force
[Verse 8: Chiwawa]
Dawa ya moto ni moto, nimevaa jako na niko Coast-o
Sijali ka mi napingwa ju mi ni bingwa, cheki arosto
Kila nafasi na-get na-force jo, kama ni bitch amegeuka poko!
Mi ni ka breeze, put you at ease, fanya savannah inageuka Moscow
Namba moja, of course, vile natema mistari moto
Piga hizo vichwa ni ka mangoto, keep it hardcore ka kokoto
Magaidi walinichinja wakanisare solo ni-die
Nika-get back kama starring kuwamada wote walai
Akili imeruka ni kama Maasai
Nafanya inanuka ni kama ma-ngwai
Na vile nachoma ni kama nakuona
Nanyonga kapyenga nichome baadaye
Zile mambwakni siwezi-buy
Kwani ni kesho? Kesi baadaye
Ambia ma-OG nilikafunga, siko kwa ma-three niko kwa ndai
Zile manoti mi nazidai, nakuja na mbogi yote kuziwahi
Kama unacheza tunakubeba tunaku-hang kwa ceiling na tai
Niko na form jo kukuliko, ukinicheki toka kijiko
Naleta fire shinda jiko, huwezi niguza kwenye niko, uh...
[Hook: Khaligraph Jones]
Niko na form, nawakemba
Nawa-bomb na ma-banger
Niko zone, Akuku Denja
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba, Papa Wemba
Mi ni don, Papa Wemba
Papa Wemba was written by Visita (KE) & Chiwawa & Agano & Gaza (KE) & Zakah & Khaligraph Jones.
Papa Wemba was produced by .
Khaligraph Jones released Papa Wemba on Mon Dec 13 2021.