OFF MOOD

Bravo-the-son & J93

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "OFF MOOD"

OFF MOOD by BRAVO THE SON (Ft. J93)

Release Date
Wed Mar 20 2019
Performed by
Bravo-the-sonJ93
Produced by
Writed by
J93 AND BRAVO THE SON

OFF MOOD Lyrics

Verse 01: J93

They talk about the fame, goddamn mi nataka dow
Tuzo za kibabe niweke heshima zaidi ya ballon di or
Nipate bangaloo niue nock things on my door
Wametaka vita mama yangu uuwh (oh my lord)

Hakuna kujuana sasa tunfanya kazi
Mwendo mpera mpera kaa pembeni paparazi
Maisha ni magumu hakuna mjomba na shangazi
Vitu vimekaba hawashuki tena wapanda ngazi

Vile nilianza kila mtu alidiss no
Level ziko juu am the besto now they wanna know
Hakuna unachojua kaa pembeni boya machino
Nimetoka sa kuzimu if you don't know now you know

Bravo, Abby, Cool, son
Wambie, maboya, its our turn
Cuban, Jaco, deal done
Dream, Living kama utani

Walitaka battle sasa wambie waje kwenye flow
Rappers play back sishindani nao kwenye show
Uwezo wao mdogo bars mbili tena yoyoyoh
Najambisha wakubwa mi ni mdogo Lil Bow Wow

Dini ya siku hizi inanuka ngono pesa
Mama zetu miujiza bado inawatesa
Najua siwezi kumiliki hela kama za Bakhresa
Ila siwezi shindwa kuendesha hata Verossa

Eti unachana unamjua Bravo wewe
Siwezi kushindana na kunguru hawa mwewe
Hakuna tumaini hawa rappers ni kiwewe
Nafanya yangu hayo yako utajua mwenyewe

Verse 02: Bravo the son

Wanataka nijishushe, nijifananishe na wao
Vipi niwakalishe ama niwarudishe makwao
Mtoto wa kizaramo so nawakilisha mwambao
Wakuja wananipima so wanabonga mishe kibao

Na sina mishe na wao, mi nakusanya mafao
Hii gemu nikija stafu nikayasafishe makao
Zungu baba lao, kiwalani chata lao
Kaa bado hauamini kuja tuwakalishe vikao

Huu mchezo unachezwa na mimi ndo masta eti
Kila mechi bao nigga sijawahi beti
Nikipita kwao hudai hawanijui eti
Halafu huja inbobo broo niandikie verse

Henh, right now nawakata staki shobo
Kila kona nachakaza napakaza nachapicha logo
Naona mavi yamewabana si wakate gogo
Na sihitaji kupambana nazidisha nyodo

Cheki nkiwa na wana nikifanya wanahanya
Zidi kupambana taratibu nawakanya
Nimeshindikana japo wajinga wanabana
Njia ni za panya hawawezi pita hawa mamama

Vile speedy mi na go, nawapita sioni soo
Mi ni msela kwenye booth ukiniona ka bishoo
Nimekuja saka dow, everyday getting
I got love for ma niggaz kiwalani here we goo

Eddo bits Words Young Lunya ndo ma cousin
I got big words sina usela hata na dozen
I got respect ya masela ya ma shpape
Tunmake hela mwisho wa wiki kina happen

Tin Yeyo Sammiem where you at anko
Mwambie Bana tukutane ambiance hapo
Tule zege mishkaki na badae msako
Wa zile bebe kali kali twende kati hapo

Eeh...here we go now we ballin
Mapromota kwenye show they be calling
Macho yangu kwenye dow ndo magoli
Na wachumba walonitosa am sorry

OFF MOOD Q&A

Who wrote OFF MOOD's ?

OFF MOOD was written by J93 AND BRAVO THE SON.

Who produced OFF MOOD's ?

OFF MOOD was produced by .

When did Bravo-the-son release OFF MOOD?

Bravo-the-son released OFF MOOD on Wed Mar 20 2019.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com