[Intro]
Moujaa
Mm mmh
This is special for my love la la laa
You know the sound
Huyu Fundi Abbah
Aaaah
Sound by Abbah
[Verse 1]
Nakupa moyo
Wangu utunze, mmh
Kama mapenzi ni ugonjwa
Naomba niuguzwe
Mwenzako kibogoyo
Kutafuna nifunze
Naogopa maladhi
Jitahidi unitunze
[Bridge]
Inabidi ujue mi bila we siwezi
Haya mapenzi, haya mapenzi
Tena utambue yanaumiza mapenzi
Haya mapenzi, haya mapenzi
[Chorus]
Siku ukiniacha, aaah
Ntadedi ntakufa
Ntadedi ntakufa
Ntadedi ntakufa
Mmh, moyo utasimama, aaah
Ntadedi ntakufa
Ntadedi ntakufa
Ntadedi ntakufa
Mi usiniache mimi
[Verse 2]
Siunajua siwezi
Kuchovya chovya ovyoo
Na yako mapenzi
Yashanikaba koo
Tokea zama na enzi
Haya mapenzi yapo
Hapo hapo mpenzi
Umenishika kunako
[Bridge]
Inabidi ujue mi bila we siwezi
Haya mapenzi, haya mapenzi
Tena utambue yanaumiza mapenzi
Haya mapenzi, haya mapenzi
[Chorus]
Siku ukiniacha, aaah
Ntadedi ntakufa (ntadedi)
Ntadedi ntakufa (ntadedi)
Ntadedi ntakufa
Mmh, moyo utasimama, aaah
Ntadedi ntakufa (ntadedi)
Ntadedi ntakufa (mi usiniache)
Ntadedi ntakufa
Mi usiniache mimi
[Outro]
The Mix Killer
Aaah, Moujaa
You know the sound
The Mix Killer
Ntadedi was produced by Abbah Process.
Mocco-genius released Ntadedi on Thu Jul 03 2025.