Now You Know by Khaligraph Jones (Ft. Rostam (TZ))
Now You Know by Khaligraph Jones (Ft. Rostam (TZ))

Now You Know

Khaligraph Jones & Rostam (TZ) * Track #13 On Testimony 1990

Now You Know Lyrics

Heyyyyy, haaah, wooooh!
Mambo vipi everybody
See right about now, you are rocking with the best
OG, Roma, Stamina
Let's go!!
Yo! Si mwingine Mr Bonventure hapa
Straight toka Bongo, mpaka Kisumu Naivasha
Nairobi, Mombasa kila kitu gooda gooda
Na muda umefika sasa kutuma posa kwa Huddah
Kucheka cheka na ma stingy sitaki
Wamesha chezea blocku kwenye simu hawanipati
Busy natua show collabo za nchi za kati
Nashangaa unae nidisi na huna hata mchongo wa laki
Madem wawonge nani, labda bundle la chuo
Hatamkisema sisimami, freshi sinanga kituo
Mjini kupambana, utoke jasho soga nanda
Ukileta stori unabao, na shauri ukajenge banda
Nilizaliwa niwe Tupaci mmmh, Tupac wa Bongo
Sema nikanyimwa six packs, na kichwani sina dongo
Bila mkuyati wala vumbi la Congo
Madem wanasema smart, yana flesh haina zongo
Okay... Baba, ngida babayaro
Rostam collabo na baba yao
Wezo wao, style zao
Napigwa na fikira zao
So wacha watu dissi na sisi sio size zao
Aaah, Nairobi to Dar
Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh
Hapa tu kazi, vile inafaa
OG collabo na Rostam... heeeeeey
Aki ya nani now you know
Aki ya nani now you
Na na na now you know
Na na na now you
Aki ya nani now you know
Aki ya!
Na na na now you know
Na na na now you know... Ya'll
Nahawakuchanuliwa ni akina na nani
Ndio sahii wana worry
Tume pull up na ndai na ma lorry
Zimejaa ma OGs killas walahi mpaka shorties
Kazi saa hii nikutuchambua ki Saida Karoli
They call me Mugabe zile pande za Dodoma
Ata Zimbabwe nina Stamina ya Roma
That means I can't fall, niko firm ki simiti
Khali me na stand tall, ju ya fans na sikiki... Omollooo!
Nikipita mtaa vile wasupaa wana stare
They know I got the doh me naeka duka jo I swear
Wanapenda ile lugha nawapea
I don't do cheap liquor, huoni chupa za Belaire
Incase i'm in the stu.then ni verse ndo nachana
Busy grinding mpaka shati iko na jasho ya jana... Yeahhhhhh!
You on the top, hizo vako wachana
I've been rappin toka enzi za Vasco Da Gama
Me ni msharp toka zama, niko class moja blunder
Kwa darasa ya mziki me ni ka bus ndo kwa maana
Kila wakati nachora nawacha black board alama
Kama Castro I'm bad boy na bado nasimama
Ujumbe itafika toka mtaa na i'ma YOLO
I guess that's why nikipiga buzz wana follow
I'm only Kong, we umekaa kwa gondoro
I'm a star me na paa mpaka Dar hadi Molo
Aaah, Nairobi to Dar
Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh
Hapa tu kazi, vile inafaa
OG collabo na Rostam... heeeeeey
Aki ya nani now you know
Aki ya nani now you
Na na na now you know
Na na na now you
Aki ya nani now you know
Aki ya!
Na na na now you know
Na na na now you know...
Na siyo Zimbabwe tu
Kavuka border kwa mkaburu
Ukiona na leta ubabe ujue hawapendi niwe huru
Na nanyataa, mpaka Kenyattaa... Uhuruuu
Natekenya paa kwa paa... so piga nduru
Na hii verse nawachinja
You guys yo wanna made it
Mnataka kupiga binja huku mnatafuna githeri... hawataweza
Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
Mbona mnatoka mapovu, mme panic na mme faili
Me mkatoliki nalindwa na damu ya Christo
Leo Papa Jones umekutana na Papa Benedicto
So kaloge Kisumu nikulogee Mombasa
Ujue mimba ni sumu mheshimu gumba na tasa... iiiii kwetu Tanzania!
Ma afande hawananga peacee
Niko Kenya na iko tungi na la mrungi na polis
Usi download pornograph, kwa WiFi ya msikitii
Hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti
Na sina mistari mikali juu tu niliandika ghafla
Ila na flow mbaya kama jiko yakipiga chafya
Ukijichocha me naleta mashauzi
Na tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi
Aaah, Nairobi to Dar
Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh
Hapa tu kazi, vile inafaa
OG collabo na Rostam... heeeeeey
Aki ya nani now you know
Aki ya nani now you
Na na na now you know
Na na na now you
Aki ya nani now you know
Aki ya!
Na na na now you know
Na na na now you know

Now You Know Q&A

Who wrote Now You Know's ?

Now You Know was written by Roma Mkatoliki & Khaligraph Jones.

When did Khaligraph Jones release Now You Know?

Khaligraph Jones released Now You Know on Thu May 10 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com