[Intro]
JiniX66...
Jay Once Again....
Olooh loo loh....
Olooh loo loh....
Olooh loo loh....
Samaa......
[Verse 1 : Maua Sama]
Ntampata wapi jamani
Atae nipa amani
Muda wote burudani, ooh
Kwenda nje nsitamani
Waniulizie majirani
Yuko wapi huyu jamani
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Kwa hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
[Chorus : Maua Sama & Jay Melody]
Jama kama uyo
Ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo
Ntampata wapi kama uyo
Ntampata wapi
Ntampata wapi
[Verse 2 : Jay Melody]
Yeye tu nikilala nimuote yeye tu
Nipo chin aje juu
Taratibu akinipa mavitu
Anipe utamu kila siku
Kwa ujazo asifanye kiduchu
Apo tu roho kwatu
Nikishushia na supu
Niwe wake awe wangu
Changu chake
Chake changu
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Kwa hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
[Chorus : Jay Melody]
Jama kama uyo
Ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo
Ntampata wapi kama uyo
Ntampata wapi Ntampata wapi
Nitampata Wapi was produced by Genius jini x66.
Maua-sama released Nitampata Wapi on Fri Jan 10 2025.