Nifuate by Stan (Ft. Wawesh Mjanja)
Nifuate by Stan (Ft. Wawesh Mjanja)

Nifuate

Stan & Wawesh Mjanja

Download "Nifuate"

Nifuate by Stan (Ft. Wawesh Mjanja)

Release Date
Thu Mar 03 2016
Performed by
StanWawesh Mjanja
Produced by
Wawesh Mjanja
Writed by
Wawesh Mjanja

Nifuate Lyrics

[intro]
Oooouuh
Yeyeeeh
Oooouuuuuuu uu
Baby nifuate

Chorus:
Nifuate baby
Nifuate
Nifuate oooooouuuuuu

Verse 1
Nakupenda hadi siwezi kueleza
Nataka kukuonyesha
Na utamu wa pendo lako
Yanimaliza
Mtu mzima kama mimi naomba

[Wawesh Mjanja]
Ah kama ardhi navyotamani
Maji
Jangwani
Roho yaniuma (ooooh uuu)
Tamaa inaniua

Chorus:
Nifuate
Mahali hatujulikani
Nifuate
Mahali kule mbali
Nifuate
Mahali hatupatikani
Nifuate
Nifuate nikufuate

Verse 2
Naaatafuta penzi lako busu lako lanitia wazimu
Naaaatamani uwe wangu
Twende kwangu
Juu hapa kumejaa na watu

[Wawesh Mjanja]
Ah kama ardhi navyotamani
Maji
Jangwani
Roho yaniuma (ooooh uuu)
Tamaa inaniua

Chorus:
Nifuate
Mahali hatujulikani
Nifuate
Mahali kule mbali
Nifuate mahali hatupatikani
Nifuate
Nifuate
Nikufuate

Nifuate Q&A

Who wrote Nifuate's ?

Nifuate was written by Wawesh Mjanja.

Who produced Nifuate's ?

Nifuate was produced by Wawesh Mjanja.

When did Stan release Nifuate?

Stan released Nifuate on Thu Mar 03 2016.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com