Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol & Amos & Josh
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol
Sauti Sol take on the subject of child abortion, a difficult subject in Kenya. The song is basically a plea to a girl, Nerea( who represents all girls considering abortion), not to abort the child, because the child was given by God and may be the greatest human to ever walk the earth.
The song come...
[Verse 1: Delvin]
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
[Bien]
Huenda akawa Obama, atawale Amerika,
Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda,
[Josh]
Huenda akawa Wanyama, acheze soka Uingereza,
Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa,
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
[Josh]
Huenda akawa Maathai, ayalinde mazingira,
Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga,
[Chimano]
Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania,
Huenda akawa Mandela, mkombozi wa taifa,
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea,
Usitoe mimba yangu,
Nerea, Nerea, Nerea
Usitoe mimba uangu,
Huenda akawa Kagame(Atawale)
Jaramogi Odinga(Tuungane)
Huenda akawa Tom Mboya
Huenda akawa Rudisha,
Huenda akawa Malaika, Mungu Ametupatia,
Huenda akawa Sauti Sol,
Huenda akawa Amos & Josh
Huenda akawa
Huenda akawa Malaika, Mungu ametupatia..
Nerea was written by Sauti Sol & Amos & Josh.
Nerea was produced by Sauti Sol.