NEEMA INATOSHA

Mr Seed

Download "NEEMA INATOSHA"

NEEMA INATOSHA by Mr Seed

Release Date
Mon Apr 02 2018
Performed by
Mr Seed
Produced by
Writed by
Mr Seed

NEEMA INATOSHA Lyrics

[Intro]
EMB Records (Ah!)
Bada bang bang!
Mmh, Mr seed again
Mr seed again, Yo
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Shallz Baro on the beat, yo

[Verse 1]
Nimetoka East most beloved (mmh)
Ni neema inatosha
Nikiimba ni shuhuda mi' natoa eeh eeh (mmh)
Ni neema inatosha
L-O-V-E Y-O-U
God ananipa my every night and day
Coz you de' make me to feel alright
Bada bang bang!

[Chorus1 ]
Wacha nikuambie brathe
Huyu God mi' siwezi msare
Akiniita mi' na-run kama mkale
Najua ana-come tu someday
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha

[Verse 2]
Hizi madinga: range-rover, bima (mmh)
Ni kwa neema amenipa
Leo huenda huna kesho watafuta (mmh)
Na kwa neema itafika
Usife moyo ng'an'gana
Mungu wetu ni ndio tena, amen
Na magoti piga sanana
Ukimuomba Mungu, amen
L-O-V-E Y-O-U
God ananipa my every night and day
Coz you de' make me to feel alright

[Chorus 2]
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah

[Chorus 3]
Wacha nikuambie brathe
Huyu God mi' siwezi msare
Akiniita mi' na-run kama mkale
Najua ana-come tu someday
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Ni neema inatosha
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha

NEEMA INATOSHA Q&A

Who wrote NEEMA INATOSHA's ?

NEEMA INATOSHA was written by Mr Seed.

Who produced NEEMA INATOSHA's ?

NEEMA INATOSHA was produced by .

When did Mr Seed release NEEMA INATOSHA?

Mr Seed released NEEMA INATOSHA on Mon Apr 02 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com