[Intro]
Yo!
Yeah, baba
Ma Feeling Make It
[Verse 1]
Najiona wa ajabu, eh
Nikijitazama
Hivi naota, ah
Ama nachanganyikiwa?
Joto nalo la shuka digiri
Waliniliza TBT
Na moyo wangu nishakupa na'
[Chorus]
Na wewe ndio nahodha
Wa meli yangu
Uhitaji CV, woah, oh
Hata ukinge yai laini
Tuwe salama, ah
Atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[Post-Chorus]
Maana, najiona
Nachanganyikiwa 'oh, nyikiwa
Ndama, nanona
Na nyonyeshwa maziwa, 'oh, maziwa
[Bridge]
(Ah!)
[Verse 2]
Kama mapenzi ni Jihad
Tuko peponi
Kwa jinsi tulivyo pambana na hali, 'yetu rohoni
Kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
Wanaosubiri tuachane hata kesho
Sisi bado
[Pre-Chorus]
Sisi bado
Oh, oh, oh
Oh, sisi bado
Kuachana sisi bado
Sisi bado, woah, woah, oh, wah
Sisi bado, woah
[Chorus]
Kwani na wewe ndio nahodha
Wa meli yangu
Uhitaji CV, woah, oh
Hata ukinge yai laini
Tuwe salama, ah
Atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[Post-Chorus]
Maana, najiona
Nachanganyikiwa 'oh, nyikiwa
Ndama, nanona
Na nyonyeshwa maziwa, 'oh, maziwa
Oh, ah
The Mix Killer