Mwagia Ndani by Marioo (Ft. Native Deep & Robot Boii)
Mwagia Ndani by Marioo (Ft. Native Deep & Robot Boii)

Mwagia Ndani

Marioo & Robot Boii * Track #15 On The Kid You Know

Mwagia Ndani Lyrics

Mmmh bad ayeeee
Shiiiiiiii
Aah ah sheimbembe
Tumebarikiwaa tumejipata
Tumetoboa bila kodi tumejipata
Tumefanikiwa tumejipata
Tumeridhika na amaisha tumejipata
Sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba
Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga
Sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba
Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda
Tuna muogopa mungu pekee
Tuna muogopa mungu pekee
Tuna muogopa mungu pekee
Sio wew sio yule sio kifo
Sio njaaa wala majukumu
Ndomana
Tunamwagia ndani, Mmmh
Mwagia ndanni, Mmmh
Tunamwagia ndani, Mmmh
Mwagia ndani, Mmmh
Tunamwagia ndani, Mmmmh
Mwagia ndani

Mwagia Ndani Q&A

Who wrote Mwagia Ndani's ?

Mwagia Ndani was written by Marioo & Robot Boii.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com