Mvumo wa Radi (Tupendane) by Ali Kiba (Ft. Fm academia)
Mvumo wa Radi (Tupendane) by Ali Kiba (Ft. Fm academia)

Mvumo wa Radi (Tupendane)

Ali Kiba

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Mvumo wa Radi (Tupendane)"

Mvumo wa Radi (Tupendane) by Ali Kiba (Ft. Fm academia)

Release Date
Sat May 12 2018
Performed by
Ali Kiba
Produced by
Combination sound (man water)
Writed by
Ali Kiba

Mvumo wa Radi (Tupendane) Lyrics

(Verse 1)
Naanza na hii sifa yangu mpweke
Misifa mingi na ukwezi me sina makuzi
Ntakupenda wewe
Ntampenda mama
Na baba yako
Na ndugu zako
Ntakupa mapenzi mimi
Kama Mvumule mvumule
(Hujawahi pewa]Ma Mvumule mvumule
(Ukitaka waskie)Ma mvumule mvumule
Kama mvumo wa radi

(Verse 2)
Tatizo lako sheri
Unanstaajabisha na unavonipenda kweli
Roho inaniuma
Wivu naona
Me naumia
Am in love Weweee
Nampenda sana

(CHORUS)
Tupendane tupendane Penzi liwe sawa sawa
Isiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo
Aaah aanha
Tupendane kama Baba na Mama
Na siku zote tuishi kwa furaha

Hook
Tupendane Bacongo,Tanzania,Uganda Kenya
Burudi na rwanda na zambia mpaka
Mozambique Ghana mpaka Nigeria
Cameroon Sudan Mpaka Somalia
Africa Africa tupendane

(CHORUS)
Tupendane tupendane Penzi liwe sawa sawa
Isiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo
Aaah aanha
Tupendane kama Baba na Mama
Na siku zote tuishi kwa furaha

(BRIDGE)
Tuishi kwa Furaha Tupendane
We wangu wa moyoni
Ukisikia homa ile homa ya jiji ni wewe
Wanaojiita masponsor ma love wasikusimbue
Wanajiona maboss lady mabossbaby
Tena wife material My honey bunny
Honey bunny unabana
Wengine wote wanajiaa aaa aaah
Kwa mvumule mvumule
Ntakupa mapenzi mimi

CHORUS
Tupendane tupendane Penzi liwe sawa sawa
Isiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo
Aaah aanha
Tupendane kama Baba na Mama
Na siku zote tuishi kwa furaha

Mvumo wa Radi (Tupendane) Q&A

Who wrote Mvumo wa Radi (Tupendane)'s ?

Mvumo wa Radi (Tupendane) was written by Ali Kiba.

Who produced Mvumo wa Radi (Tupendane)'s ?

Mvumo wa Radi (Tupendane) was produced by Combination sound (man water).

When did Ali Kiba release Mvumo wa Radi (Tupendane)?

Ali Kiba released Mvumo wa Radi (Tupendane) on Sat May 12 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com