Mvua by Marioo
Mvua by Marioo

Mvua

Marioo

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Mvua"

Mvua by Marioo

Release Date
Sun Jul 20 2025
Performed by
Marioo
Produced by
Kaniba Creator
Writed by

Mvua Lyrics

[Verse 1]
Mungu ndio mtaalamu
Mtaalamu wa kumechisha
Ndomana kaamua kunipa wewe we
Ona tulivyo mechisha
Ah Mungu, fundi
Dongo kalifinyanga
Mzuri, hauna mapepe pepe
Nami mawenge sinanga
Moja, mbili na tatu
Namba zote zakwako
Mi kama maji mtungini
Sina makando kando

[Pre-Chorus]
Baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake eeh
Sifurukuti, siruki
Ndege na mti wake
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishajipata, sijapatikana
Na kama inyesha inyeshe

[Chorus]
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua

[Verse 2]
I wish ningekuwa na uwezo ni mjengee mama ake
Nyumba kali Mombasa
Mama mzaaa chema
Kaweza, kaweza tena
Ningekuwa na uwezo ninge mletea baba ake
Hata ka Verossa
Baba mzaaa chema, kaweza
Mana ingekuwa mapenzi, safari safari
Muda huu niko Kigoma, mwisho wa reli

[Pre-Chorus]
Baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake eeh
Sifurukuti, siruki
Ndege na mti wake
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishajipata, sijapatikana
Na kama inyesha inyeshe

[Chorus]
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua

Mvua Q&A

Who produced Mvua's ?

Mvua was produced by Kaniba Creator.

When did Marioo release Mvua?

Marioo released Mvua on Sun Jul 20 2025.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com