Mungu 6 by Domani Mkadinali
Mungu 6 by Domani Mkadinali

Mungu 6

Domani Mkadinali * Track #6 On Mungu

Mungu 6 Lyrics

[INTRO]
(B-B-B-Big Beatz Afrique
Big Beatz Afrique
Big Beatz Afrique)

Yo
Yo, Yo, Yo, Yo, Yo
Yo
Yo

[Verse 1]
Kuna vitu mbili haziendani
Kusaka doh na kulaze around
Shortcut hakunanga joh
Hapa it's either utoe jasho bro
Na uikimbize inadi ka assault rifle jo kwa Arsenal
Juu ya venye si huwekelea kazi
Tumeenda international
Keep it [?]
Usiwahi jii-ta- ngaza unazo
Kile unacho
Usiwahi mkaribishia
Mwizi kwa macho
VVS sina; niko zile enzi za whatever za Boondocks
Hadi mashabika wana 'kiria wanaweza
Ni-mentor via inbox
Nikienda radio reception
Ma Jack Dero me hunywa kwa dhati
Juu ya venye aki fans hunikumbusha tomorrow
Hio gidhaa sihati
So every time
Ni kalesa kuanzia masaa ya six-thirty
'di maplugs wanajua kingwelo me hukidai saa ngapi
Si hurauka kupaper chase
Lifе ngumu ki mashujaa
Alfajiri masaa
After mambwa zi-bark mtaa
Ni siku ya tatu sasa na sijastep in-a-mi yard
Perhaps juu ukuta ni za matopе
Rooftop makuti thatch
I think me huprefer kushinda hustle ma-mbu zibaki njaa
Hata tiabe ikose ndunya si hukunywa ndufia kila day
Nasakwa na Zeus... Munga allegedly
Ni me nimemada Hercules
Straight apa (upper) earth
Hadi tunapiga biz kila saa..yari
Ni hivi tu majuzi ndio niliskia sugar iko na mercury
Saa hii ako Wilson Sossion
After atuonyeshe venye hii jangwa inakaa
Kumaanisha so sioni pastrolists akinyima juvenile guns
Kichwani ndani akilini kitu imenigubika ni art
Oppressed within Babylon but nina jubilant heart
Yoh
Saa zingine ukichengwa tulia
Si lazima chobo
Mziki zao mixtape zimendonyo
Juu si huwanga wachoyo
Walikaushwa… Verse
Wakabite mistari zetu japo si oreo
But I guess wako na moyo
Juu zetu ni taste ya Royco na Oyo
Zile ngoma chache tuliwapea ziwabambe
Zilitarget the wrong market
Cheki mdagi tunaenda kufika full hunnid na zero budget
Superheroes mko wapi sasa
Coz ni mimi tu najiona frontline niki-stagger
Crew iko kwa kwapa

[Verse 2]
Ati streets zilim-foster; wasee wakamkanya
Saa hii ako six-feet deep mpaka mamkanya
Yesu Kristo akaweza kuja leo kuna vile tunaweza kukukana?
Digital Elkanah
Hadi sheto hajui tunataka nini juu saa hii tungekuwa Canaan
Rong Rende imekuwa problemo
Kama moshogi za far east zikiwai mamaynaja na mafreno
While marapper waki-breeze si hubarizi bila neno
Ni mamandizi na mamelon
Fisi kibogoyo still ni kubugia even though sina meno

Mungu 6 Q&A

Who wrote Mungu 6's ?

Mungu 6 was written by Domani Mkadinali.

When did Domani Mkadinali release Mungu 6?

Domani Mkadinali released Mungu 6 on Wed Jan 01 2020.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com