Mua by Mimi Mars
The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Mua"

Mua by Mimi Mars

Release Date
Sat Nov 24 2018
Performed by
Mimi-mars
Produced by
Rashdon
Writed by

Mua Lyrics

[Verse 1]
Nikiwa mbali na uwepo wa macho yako
Mi mgonjwa, siwezi pona
Nitatulia nikikuona, ah
Niwapo ubavuni mwako
Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama, aah
Natulia nikikuona, aah

[Pre-Chorus]
Tabia umenibadilisha, aah
Pozi zote kwisha
Jeuri ndo kabisa
Nimechange, iih
Nahofia ukija nichoresha
Machozi, ooh, sipati picha
Safari ukaikatisha
Huku sijiwezi

[Chorus]
Najiona hodari (juu ya penzi lako)
Sina habari (juu ya penzi lako)
Nimeonja asali (juu ya penzi lako)
Najiona mbali
Najiona hodari (juu ya penzi lako)
Sina habari (juu ya penzi lako)
Nimeonja asali (juu ya penzi lako)
Najiona mbali

[Post-Chorus]
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua

[Verse 2]
Unavyonikanda na kunichua
We ni damu, we nikiugua
Unanifanya najishebedua, aah yeah
Puliza marashi, wapi mafua?
Wanaopenda kudadavua
Sie tunapika na kupakua, aah yeah

[Bridge]
Hatuna kelele
Tunaendana endana
Mpaka milele
Tutazikana

[Chorus]
Najiona hodari (juu ya penzi lako)
Sina habari (juu ya penzi lako)
Nimeonja asali (juu ya penzi lako)
Najiona mbali

[Post-Chorus]
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua

Mua Q&A

Who wrote Mua's ?

Mua was written by .

Who produced Mua's ?

Mua was produced by Rashdon.

When did Mimi-mars release Mua?

Mimi-mars released Mua on Sat Nov 24 2018.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com