HOOK:BONOBO
Hii ngoma mtingo bembea mtingo bembea
Hii ngoma mtingo bembea wanaelewa x 2
Wanagusa wakionja wanakolea
Wakiihtaji bifu waambie watapotea
Wanameza hizo flow wanabembea
Nisipo chana ni arosto wanazembea
Verse;BONOBO
Nakula double joint kabla ya voko
Step down nike footprint ndani soko
Nikienda club kurusha mapopo
Cheza ngoma local usiplay soko mr dj
Na huyu ndie rapa 50-0 may weather flow
Cheki ninavyo score baba lao sikupi shikamoo
BONOBO komandoo
Dundo arosto kwenye huu mchezo nipo nipo
Jina search google
Hawaniwezi hawa rappers ukiweka battle machafuko
Wamechoka kama hugo kiuandishi ushindani ni viewers
Social media habari kuwa gumzo
Double tap sharе subscribe hizo ndio nguzo
Na hakuna siri mateam yanawapa sana tuzo
Tazama hiyo nguzo chungeni bongo flеva
Mbele shimo mdomo na haya maneno ni funzo
Wapumbavu uzalisha upumbavu
Wakipata pesa wanatumia mabavu
Kujanjaruka mpaka wajanja zaidi ya watatu
Au wajanja wanne ndio atakuwa mjanja mwingine
HOOK:BONOBO
Hii ngoma mtingo bembea mtingo bembea
Hii ngoma mtingo bembea wanaelewa x 2
Wanagusa wakionja wanakolea
Wakiihtaji bifu waambie watapotea
Wanameza hizo flow wanabembea
Nisipo chana ni arosto wanazembea
Verse 2;izmo
Big house big chain big car uunh
Big trick big brain big doo uunh
Big swaga laga big show shega
Big bonobo big bro yega
Im so big kwenye mdundo still nabembea
Na unipingi kwenye game bado wanapea
Unajiita dingi alafu si wazee tunakuchora
Mtingo na izmontana nabembea uunh
HOOK:BONOBO
Hii ngoma mtingo bembea mtingo bembea
Hii ngoma mtingo bembea wanaelewa x 2
Wanagusa wakionja wanakolea
Wakiihtaji bifu waambie watapotea
Wanameza hizo flow wanabembea
Nisipo chana ni arosto wanazembea
Verse 3:MDUDU
Baada ya mtingo si unaelewa kinachofwata
Kuninginiza flow juu ya midundo kama dread rasta
Oversize hili ngoma la kukwesa
Tuna take over yaani mwendo wa kunesa
Na take over mwanza natake over arusha
Mbeya city im on area nainua mitaa
Naivusha mipaka ya hip hop supastar
Mtingo bembea mtingo bembea na switch
Mtingo bembea mtingo bembea kwa ndichi
Wanangu wa mafyati inakuaje kabwe dust
Verse 4:FRESHKID
Huu mtingo ni bembea kaza kamba no legea
Kwenye game cheza fair tunabang na maplayer
Ukisnitch i dont care hamnitishi na mimea
Kwenye kona nawategea mi jogoo nyie tetea
Verse 5:SHEBBY CHOGO
Mtingo bembea hatuwezi kuwa pair
Tazama umetinga tofauti na kile unachoongea
Unaogelea kwenye dimbwi dogo
Ukihisi mto mkubwa vipi utatoka bwa mdogo
Mtingo bembea wanatembea kama kangaroo
Uwezi ata kuwa stable si ni hardcore
Niko na barz ndio usafiri yani 4 x 4
Freshkid mdudu bonobo izmo na shebby chogo
HOOK:BONOBO
Hii ngoma mtingo bembea mtingo bembea
Hii ngoma mtingo bembea wanaelewa x 2
Wanagusa wakionja wanakolea
Wakiihtaji bifu waambie watapotea
Wanameza hizo flow wanabembea
Nisipo chana ni arosto wanazembea
MTINGO BEMBEA was produced by .
Bonobo released MTINGO BEMBEA on Tue Sep 08 2020.