Miayo by Maua Sama (Ft. Mchina Mweusi)
The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Miayo"

Miayo by Maua Sama (Ft. Mchina Mweusi)

Release Date
Fri Jul 11 2025
Performed by
Maua-sama
Produced by
Eyo Kenny
Writed by

Miayo Lyrics

[Verse 1 : Mchina Mweusi]
Ukweli ukiniacha mi nitaumia
Maana moyoni nimeshakupenda
Naomba univumilie mchumbaa
Leo tumekosa, kesho tutapata
Piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
Piga miayo baharia kama una njaa, aah
Piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
Piga miayo baharia kama una njaa, aah

[Verse 2 : Maua Sama]
Sama
Mwenzako nina joto, naskia raha ka nirudi utoto
So baby give it to me ya moto
Ona sa unafanya naongea kingereza
Mara this, mara that, yani kingereza
Mara this, mara that

[Refrain : Maua Sama & Mchina Mweusi]
Ukweli ukiniacha mi nitaumia
Maana moyoni nimeshakupenda
Nakuomba univumilie mchumbaa
Leo tumekosa, kesho tutapata
Piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
Piga miayo baharia kama una njaa, aah
Piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
Piga miayo baharia kama una njaa, aah

[Verse 3 : Maua Sama & Mchina Mweusi]
Dada njoo, dada njoo, njoo njoo
Oya wee, me na-na-na-na-nakupenda wewe
Ukija ku-ku-ku-ku-kuniacha mimi
Nita-ta-ta-ta-ta-ta-ta nitateseka
Naomba uni-ni-ni-ni-ni-nikubalie
Mwenzako naumi mi mi
Mwenzako naumi mi mi
Mwenzako naumi mi mi
Mwenzako naumi mi mi
Ha ha ha haiya, ni nimeku-ku-ku-ku-kubalia
Kwa kwanzia le-le-leo ni-ni-wa-wapenzi

[Outro : Mchina Mweusi]
Ah, Wachina ni wengi, tunawajua
Ila mweusi ni mmoja chini ya jua
Hata Maki ni wengi, ila mwisha mmoja
Meneja Krisi, nisalimie Tayo
We Sonko Tachi
Watoto hamweza bondeni
Gwiji Mwana FA, heshima yako
We Umbwa Mwitu OG
Triple 9 baba
Yusufu Ngage
Usiniletee ua Sama
Nikona Maua Sama humu

Miayo Q&A

Who produced Miayo's ?

Miayo was produced by Eyo Kenny.

When did Maua-sama release Miayo?

Maua-sama released Miayo on Fri Jul 11 2025.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com