Download "Me Siogopi"

Me Siogopi by Khaligraph Jones (Ft. Khaligraph Jones, KOB & Lamaz Span)

Release Date
Thu Oct 10 2019

Me Siogopi Lyrics

Yeah
Ahuu
Siogopi yoh, ahuu
Me siogopi, ahuu
Yeah, yeah
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Leo ni movie mnataka kuona na mi si Tokodi (Mi si Tokodi)
Visanga tutafanya leo lazima tupatiwe notice (Rakaka)
Lakini ambia mwenye nyumba nimesema siondoki (Hahaha)
Cheki vile nimekafunga boss na mi sio chopi (Na mi sio chopi)
Mapesa najua kutafuata sana na mi siokoti (Na mi siokoti)
Makesi si pia natatua sana na mi sio korti (Na mi sio korti)
Na kale kambwenya kangu ka seko, si na miss hio koti (Na miss hio koti)
Si tuko kimoja nikisema hawa ma OG ni konki (Konki fire)
Wako na kikosi ya mbogi ya Odi ya kina Munyoki (Munyoki murogi)
Na mi na Munyoki tukikuja kwako si hatutoki (No never)
Na ka una shida kimbia polisi ukapige ripoti (Toka kwenda)
Si aki ya nani leo lazima tuvunje rekodi (Vunja kivolume)
Ju kuna bash ya kuzima wasanii wa ngoma shoddy (Zima kabisa)
Si kuserereka mpaka wathii watoke na magoti (Hahaha)
But hizi ni vitu si tumezoea si hatuogopi (Rrraah)
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Ka ni vitisho tumezoea
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi (Rrraah kakaka)
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi (Si me siogopi)
Me siogopi (Na we huogopi?)
Me siogopi (Ka we huogopi)
Me siogopi (But me siogopi)
Me siogopi (Rrraah kakaka)
Oya gathee, hii si lingala mi sio Koffi (Mi sio Koffi)
Na ukinihalla nipate Java na miss hio coffee (Na miss hio coffee)
Cheki vile mi huwaliza ngori na mi sio Kofi (Kofi Annan)
Na ukijaribu kuleta nyoko nyoko hapa ni makofi (Bloody fuckin')
Tabia za Pozze zinaweza fanya useme siokoki (Aki ya nani)
Lakini wacha ninyamaze gathee nibaki kwa topic (Ukanyamaze)
Hii ngoma nimefanya na Omollo na mi siwachochi (Omollo mgani?)
Omollo mmoja yule alishinda trophy (Brrraah)
Nishawachanua me siogopi
Mi ni kurutu jo mi sio softi
Ka ni kuroga then mi ndio bossi
Ka unaugua then hii ndio hosi
Hii ni beef jo, hii sio Sossi
Hii ni hit jo au sio Motif
K.O.B jo leta hio coffin
Rest in peace jo, me siogopi
Mabuda mnachoma
Kazi ni ku copy paste hawa ma youngin'
Ndo pia nyi mtrend
Mbona msikubali mmechapa
Ni ka mnasaka career zenyu zimeend
Mnazoza kwa mneti mashow mnapiga
Na zinafanyika ka kila weekend
Na ngoma mkitoa the only platform mnapata
Ni Citizen 10 over 10
Mi nipe candle siwezi potea
Ju kitu nafanya ni ngumu kusample (Woo)
Hardcore rapper lakini ikibidi
Namada pia beats za dancehall (Rrraah)
Favourite rapper wako batty boy
Tulimpata akinunua tampoons
Mbogi yangu ya ubakora ni major
Utatupata na akina Kansoul
Acha kiburi punguza kelele
Zako pang'ang'a kwa mtaa we ni mwere
Utageuzwa kichungi ukizidi na kwere
Nilianza kuhustle enzi za Nyerere
Legendary kama Luanda Magere
Nina ofisi huko Mwea Tebere
Niko na maratchet wale ukiketi mbaya
Soda yako watakuwekea mchele
Before nianze rap hapa Kenya
Kulikuwa na shortage ya skill
Hakukuwa na talent (Omollo)
Akina Pinye walimada industry
Wakafanya ikuwe barren
Wakasema nisiroge na ngoso
Ati sababu sijatoka Karen
But fuck you nigga
Guess sai nani anapiga mavideo na kina Clarence
HBR nangoja mnipigie simu mniambie pole
Hio top 50 mlitoa
Inaonyesha vizuri hamkufika hata college
Ju ka si Khali ndio number 1
Inaonyesha vile mmedharau jina
Freestyle zangu ndo most viewed on your channel
Na bado mnakosa heshima, aah
Aki ya nani
Ayo Motif imebakia nani
Mbona wathii hawanitakii amani
Hii game me naifuck, nimeimwagia ndani
Nani hapa Kenya amesukuma hii culture ya Hip-Hop kushinda Omollo? (Iyee)
K.O.B na Khaligraph kwa battlefield
Tunasimama solo
Ahh, unarada fiti
Kuna wasanii kadhaa bado wasaliti
Wanasaka kiki, so hawataki kuona sisi tukipaa
Watafurahi tukikaa Kamiti
OG we ah burn dem amachichi
Ama vipi? Bado mi nafanya mziki
If it ain't about the money don't tryna reach me
Nishamaliza hii kitu inakaa mazishi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Ka ni vitisho tumezoea
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi (Rrraah kakaka)
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi
Me siogopi (Si me siogopi)
Me siogopi (Na we huogopi?)
Me siogopi (Ka we huogopi)
Me siogopi (But me siogopi)
Me siogopi (Rrraah kakaka)

Me Siogopi Q&A

When did Khaligraph Jones release Me Siogopi?

Khaligraph Jones released Me Siogopi on Thu Oct 10 2019.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com