[Verse 1 : Mocco Genius]
Mimi nimekuona wewe
Katika mamia ya wengine
Mimi ni wa kwako wewe
Hakika sina mwingine
[Pre-Chorus : Mocco Genius]
Wa maisha yangu, wa maisha yangu
Wa maisha yangu, wa maisha yangu
Ona, hata mama aliniambia
Kila kitu changu cha kwako wewe, cha kwako
[Chorus : Mocco Genius]
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
[Verse 2 : Alikiba]
Mbusu tu, nazima
Mahaba yako mazito ukiyapima
Uwezo sina, ningekuhonga madinar
Na kwa hii dunia, iitwe kwa lako jina
Ooh, nilikwambiaga
Ulinipende mimi tu
Mapenzi ya kumwaga, oooh
[Pre-Chorus]
Wa maisha yangu, wa maisha yangu
Wa maisha yangu, wa maisha yangu
Ona, hata mama aliniambia
Kila kitu changu cha kwako wewe, cha kwako
[Chorus]
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Nakupa, mchuchu, moyo wangu wote
Mchuchu was produced by Mocco Genius.
Mocco Genius released Mchuchu on Thu Apr 18 2024.