Mauzauza by Zuchu (Ft. Khadija kopa)
Mauzauza by Zuchu (Ft. Khadija kopa)

Mauzauza

Zuchu * Track #7 On I Am Zuchu - EP

Download "Mauzauza"

Mauzauza by Zuchu (Ft. Khadija kopa)

Release Date
Mon Apr 13 2020
Performed by
Zuchu

Mauzauza Lyrics

Shunuaa usijipe mapana
Eti mwili kujitutumusha
Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa
Umejigeuza Sudi
Sio wa Corora wala Vogi
Na hilo wowowo la kufoji
Eti linakupa kodii
Ohh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri
Hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ooh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Mi maskini jeuri
Sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushindwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushidwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala
Hivi kungwi wako nani wewe?
(Atajijuaaa)
Uso mitego imedoda biashara
Hueleweki si kunguru si mwewe
Wadala ubaki dala
Mwenzio mimi kibunda
Haufai kwa kafara
Si mbuzi wewe ni punda
Umejivisha ubazazi
Kwa mapana na marefu
Uso na kazi
Si wa ndala wala peku
Ooh ooh
Ondo ondo mlezi wa wana
We budege zoa zoa
Mwali pengo binti mwanya
Chuchunge kwa kudonyoa
Ooh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ohh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Me maskini jeuri, sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushindwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushidwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda

Mauzauza Q&A

Who wrote Mauzauza's ?

Mauzauza was written by Zuchu.

When did Zuchu release Mauzauza?

Zuchu released Mauzauza on Mon Apr 13 2020.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com